Kenya wapo mbali sana wanazalisha maziwa kwa kiwango cha juu sana,Wana ng'ombe Bora sana wa maziwa,wanafanya kilimo kwa njia za kisasa sana,wanazalisha matunda maua na mboga wanauza sana Ulaya.
Inawezekana hayo mazao wanayonunua Tanzania kwao hayakubali sana au wanakabiliwa sana na ukame.
Panda miti ifuatayo Kama una eneo kubwa .
1.Mwembe utapata kivuli na matunda.
2.Mwarobaini utapata kivuli na mbao, mwarobaini una mbao nzuri sana ngumu na nyekundu.
3.Mzambarau utapata kivuli,matunda na mbao, nao una mbao nzuri sana.
4.Mparachichi utapata kivuli na matunda.
5.Mfenesi utapata...
Mabadiliko ya Katiba yanatakiwa yaanzie kwa wananchi,lakini kwa Tanzania Rais ni kila kitu ,yeye anateua Jaji mkuu, anateua Spika wa bunge(Mwenyekiti wa kamati kuu ya CCM inayopitisha jina la Spika), anateua Mwenyekiti na makamishna wa time ya uchaguzi,yeye anaweza kufunga watu,yeye anaweza...
Kazi ni mwamuzi mstaafu wa FIFA keshawahi kuchezesha mechi ya Simba na Yanga.Inawezekana Kuna maeneo anaweza kukosea lakini anajua sana sheria za soka.
Kupitia tv na uchambuzi wake kwenye tv mimi nimejua vizuri Sheria ya offside iliyokua inanisumbua.
Nanukuu"Juma Duni Haji leo hii ni kiongozi mkubwa Zanzibar"kwanini umesema hivi wakati Babu Duni ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa yaani Tanzania yote?
Nikupe somo kidogo:uume wa binadamu una kazi 2 tu,1.kutolea haja ndogo,2.kufanya mapenzi.hiyo ya kwanza tuiache,ya 2 mwanaume yoyote mwenye uume unaosimama anaweza kumfikisha mwanamke kileleni bila kujali ukubwa au udogo wa uume wake,na pia mwanaume mwenye uume mkubwa anaweza kushindwa...
Kanunue maziwa ya unga yanauzwa maduka yanayouza bidhaa za mifugo.Huwa wanapewa ng'ombe ndama waliofiwa na mama zao.Wape hayo huku ukiendelea kutafuta suluhisho.
Tunapoishi hapa Duniani tuzingatie mambo 2.
1.Sisi wote ni wafungwa watarajiwa.
2.Sisi wote ni marehemu watarajiwa.
Kwahiyo tuishi kwa kupendana na kutendeana haki.
Soma hiki kitabu-kinaweza kukusaidia kuna mada za jinsi ya kuacha sigara,pombe,madawa ya kulevya na jinsi unavyoweza kujitibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. 0756625286.
Kumbebesha mwanajeshi magogo,begi,mtungi wa gesi ni jeshi la kishamba.Pia Ni hatari kwa afya ya mgongo wa mwanajeshi.
Jeshi letu lijikite kwenye tekinolojia,maonesho ya siku ya uhuru yahusishe silaha na vifaa ambavyo jeshi letu litakuwa limetengeneza hayo ndiyo maendeleo na vitu vya kujivunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.