Search results

  1. E

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Wewe kama nani? Ndio kashafanya sasa unasemaje? Kama hutaki ungana na huyo mwanamke!
  2. E

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Imekuuma eeeeh? Inaonekana nyie ndio wala wake za watu wenyewe, unatakiwa kukatwa kichwa.
  3. E

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hiyo ni kwako, ishi uonavyo na uwaache wengine waishi waonavyo
  4. E

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Natamani niwe mimi ili nifanye kwa dada yako halafu nione hayo maji ya kwenda nayo.
  5. E

    Hivi wanawake wanajiendekeza au?

    Habarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'. Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu' Na maneno mengi ya ukakasi...
  6. E

    Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

    Niambie sasa matatizo gani!
  7. E

    Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

    Niangalie mara ngapi sasa? Nishaangalia nyingi tu!
  8. E

    Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    Pole sana kaka, wewe ni kichwa na utabaki kuwa kichwa tu. Utachelewa kidogo tu, ila utafika.
  9. E

    Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

    Mbona vyake unakula? Acha kuzuga kwa kisingizio cha muda, sema kama unamuuzia au la, mtu ajue moja kama ananunua au la, ya nini kuzungushana?
  10. E

    Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

    Wanalia sana tu na tunawaona mitaani, ila si wepesi kuleta humu, kwani wana aibu sana na wanajishtukia shtukia!
  11. E

    Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

    Nasoma, sasa nitaoaje kaka?
Back
Top Bottom