Search results

  1. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Timu mnaleta ninyi katika mazingira ya kawaida watu kutofautiana tamaduni, mitazamo, dini, idikadi za kisiasa na mengineyo ..ni kawaida sana hivyo kama unaona hapafanani na wewe ondoka tu au jaribu kuwa na tolerance na utaratibu wa eneo husika..
  2. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce...
  3. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
  4. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    wewe unataka ubishi tu.. ! Hata wewe pia unayo haki ya kutuma video ya kuonyeha hawakufanya fujo...ili kuthibitisha hoja yako
  5. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Ukitumia tu logcal reasoning na sio ushabiki...mfanya biashara hasa wa mambo ya hotel na utalii ..kipaumbele chake cha biashara ni customer service & hospitality ...kamwe hawezi kumfukuza mteja kirahisi hivyo eti kisa amecomplain kwa kuwa complaining is normal mazingira ya hotel, hao wazungu...
  6. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Kwa hakika zipo namna nyingi za complaining zipo ambazo ni violence na non-violence....mpaka ifikie hatua ya kufukuzwa hotelini mostly like ni violence tu.
  7. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    ukisoma vizuri hiyo habari kulingana na taarifa wamefukuzwa baada ya kuleta fujo hotelini...! hata kama jambo hupendi tafuta utaratibu mzuri wa kuwasilidha si fujo ...na tukilea tabia za wageni kufanya fujo nyumbani kwetu ni kuharibu heshima yetu pia.
  8. Master Arcade

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Mbona kwenye heading kuna neno Zanzibar? ukijaribu kumaanisha Mafia ipo zanzibar au?
  9. Master Arcade

    Ni Tanzania tu ndio Waziri wa Fedha anahangaika kumsifia Rais

    Kusifiana pia si kitu kibaya ndugu...wivu tu ndo unakusumbua
  10. Master Arcade

    Ni Tanzania tu ndio Waziri wa Fedha anahangaika kumsifia Rais

    Naona kuna haja ya kutafuta maana halisi ya neno chawa na matumizi yake...maana tunapokwendea huko tutashindwa hata kupongezana
  11. Master Arcade

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    kwani shida iko wapi?? Mwigulu anayo maoni na mawazo yake ...na haimaanishi ni sahihi ila bado ni maoni na mtazamo wake..ridhika na hilo,tambua wewe una mawazo na mitazamo yako na haiko sawa na watu wote...na mtu huwezi kumzuia au kumpangia namna anavyofikiri au anavyoona.
  12. Master Arcade

    Oeni wanaoendana na tamaduni zenu, mtatuletea laana. Kamuogesha mkwe wake sasa madhara yameanza kuonekana

    Yaani mmemtelekeza mzee wenu alafu bado unamlaumu alijitolea kumsaidia...? Wahusika mlikuwa wapi hayo yakitokea..?
Back
Top Bottom