Habari wadau,
Niende kwenye mada, Jambo la mtoto au kijana kujinyonga sio Jambo la kumlaumu mtu, Jambo Hilo Ni Jambo linaloenda ki Imani zaidi, (Dini) Jambo hili liko ktk ulimwengu wa roho,
Ninaposema ulimwengu wa roho naomba mnielewe kwa wale wakristo mtanielewa, mwanadamu ameumbwa na vitu 3...
Shetani Yuko kazini, hataki kuona nafsi ya mtu ikiingia peponi, Hawa matron na patron wapatikane wazee, sio vijana, na pengine wamiliki wa shule wanajua huu mchezo Ni maagano yao, ili wazidi kupata wateja, tajiri kuuona ufalme wa mbingu, Ni ngumu sana
Hivi kweli, Hawa panya wanaweza kushinda jeshi la polisi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama?
Hebu Wana usalama acheni kutia aibu, hao vijana hawakulelewa, kamateni wakafichwe wasirudi mtaani, Kama polisi mnashindwa, ingieni operation maaalum na JWTZ.
Acheni kupuuza Hali itazidi kuwa mbaya...
Achana na miujiza, kweli inaanza na wewe, ukiamini kumpokea Yesu kristo, ukatubu na kufanya Sala ya Toba, ukaamua kuacha dhambi zako, hakika utabarikiwa, na mabalaa unayoyaona yanatoweka, shida inakuja ukirudi Tena ktk uovu, hapo shetani anarudi na rafiki zake Mara dufu, hapo utateseka daima...
Hospitali yenu Ni nzuri kwa uwekezaji, Ila ni mbovu kabisa kwa huduma, hasa upande wa bima hasa za NHIF. Mnabambika madeni ya matibabu, mbaya zaidi huduma za wazazi wajawazito, Ni mbovu na wengi wanapoteza maisha ktk uzazi shida iko wapi?? Msipobasilika mtapoteza wateja, yatabaki maghorofa. Kama...
Waziri Bashe chakula ni uti wa mgongo, leo msimu wa mavuno mahindi yamefika laki na 20, na bado yanapanda, sawa achieni watu wapate pesa, lakini pesa haina maana kama kuna mfumuko, zuieni mipaka, tengeneza soko la ndani, kweli nawaambia, viongozi wangu mtakosa majibu ya wananchi, muda ni...
Nilishaandika mara kadhaa hamchukulii serious,,sasa tusubiri tuone km serikali yetu haitaingia kwenye dhahama ya kutafuta chakula cha misaada, fanyeni upembuzi, uone faida ya kuuza na faida ya kununua baadae,km vp serikali inunue ihifadhi baadae wauze kwa bei ya serikali,,leo ruhusu watu wavute...
Niwasihi wadogo zangu haya matumizi ya haya madawa acheni yatawaletea madhara ya ukubwani, hakuna wa kuwasemea ali mradi ni biashara za watu, ila nawaonea huruma, acheni haya mambo. Kama unashindwa kuwa na subira maliza masomo yako olewa.
Hii nchi tunateseka sana, umpe mwekezaji halafu wewe itengeneze zipone ndo urudi kutoa huduma?? Dah, nchi inapotea,hiyo Magogoni ndo itakuwa imetoweka kiivo tena, mwekezaji yuko tayari kuhujumu hiyo Magogoni isipipone abadani, mtaniambia siku moja
Namaanisha, tupaze sauti,chakula kisitoke nje ya mipaka yetu, kama vipi serikali inunue ihifadhi kwenye maghala yake,, tunaenda kupata shida muda si mrefu
Leo naongea kwa uchungu maneno mafupi sana, chakula kinatoka nje ya nchi tunachekelea, sasa njaa ikizidi naona kama nchi itakuwa ngumu kutawalika, nashauri waziri husika, bashe ONA kwa jicho la tatu, uliza mahindi au mchele miaka ya mavuno bei zikoje?? Msipochukua adhari,, Dunia itatushangaa
Habari za majukumu,
Niende kwenye mada, hebu SERIKALI ingilieni suala la Hawa wageni, wanavuka mipaka wanakuja nchini wanakusanya mazao kwa Bei ya juu, mpaka Sasa gunia la mpunga linauzwa zaidi ya laki moja, wakulima wanauza kiholela sana, sikatai mi Jambo jema, lakini!? Swali je? Baada ya...
Unapopata Mali, hasa Mali za biashara za madini na majini, watu wake wengi vifo vyao huwa vinaacha maswali mengi, kwa maana Mali nyingi hupatikana kwa maagano, kwa hiyo Mara nyingi sababu ya kifo huwa Ni kisababishi tu,, Ila msingi wa kifo marehemu anakuwa ameshajua siku nyingi atakufaje...
Huwezi kufurahia kifo Cha binadamu mwenzako ukidhani wewe umekuja duniani kuota mizizi, KARMA is a bitch, ukifanya ubaya kwa mwenzako tarajia kabla ya kuondoka ubaya lazima ukukute, fatilia watu wamatukio mabaya woote, hata vijana wakorofi mtaani huwa wanaishia wapi?? Yule mwamba ha ata...
Niende kwenye mada.
Wakulima wameivisha CHAKULA,, lakini cha ajabu chakula kinanunuliwa na wageni wa nchi jirani kiholela, wanapeleka pesa mashine ni wananunua mchele kwa bei za kuruka.
Baada ya mavuno bei zitapanda, mara sugu, na pengine kurudisha tena tz na kutuuzia tena kwa bei mara mbili...
Hiyo GPA lectures wanasaajiliwa kwa malengo ya international standard,maana baada ya muda wanapaswa kwenda nje kusoma,na vigezo ni GPA kubwa,kwa imani lectures Ni mtu anapaswa awe na uwezo mkubwa wa kumbukumbu na kuhifadhi mambo mengi, so inaaminika, lawyers, madaktari wa binadamu,pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.