Search results

  1. Lenyox

    Dawa ya chunisi kwa mjamzito

    Jaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.
  2. Lenyox

    Nishaurini zawadi nzuri ya kumpa mama na bwana harusi mtarajiwa

    Amani iwe kwenu. Guys natarajia kufunga ndoa mwshon mwa mwez ujao. Nimewaza zawadi ya kumpa mamangu na bwana harusi mtarajiwa siku ya sendof nakosa idea mpya. Nawaomben idea. Bajeti yangu ni shiling zisizozidi laki mbili na nusu (250,000) kwa kila mmoja. Zawadi ya saa au viatu kwa mume...
  3. Lenyox

    Msaada: Namna ya kufika Matema beach

    Hellow guys, meplan kwenda matema beach monday nikitokea mbeya mjini. Naomba kusaidiwa a,b,c z za kufika huko. Ikiwa ni pamoja na transport cost kwa public transport, bei ya malaz na gharama nyngnezo zote. Na muda wa safar kutoka mbeya mjini. Na ikiwa panafaa kwenda hata hiki kipindi cha mvua.
  4. Lenyox

    Anatembea na mtoto wa family friend wakati ni muathirika.

    Kama heading inavyojieleza nina binamu yangu jinsia ke ni 28 years, kagraduate chuo mwaka 2012 ni mwajiriwa sasa. Katika pitapita zangu megundua anatembea na mtoto wa family friend bad enough yeye ni mwathirika wa Ukimwi na anatumia dawa na kijana mdogo sana ndio kwanza atakua na 19 years. Hapa...
  5. Lenyox

    Kuna mapenzi kweli hapa

    Mimi ni msichana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa. Nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambao tulishindwana sababu ya mimi kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano...
  6. Lenyox

    Msaada: kutokwa vipele na kuwashwa makwapa

    Naomba msaada nitumie njia gan ili nisiwashwe na kutoka mapele au rashes kwapan nikitumia deodorant ya aina yoyote au body spray ikigusa ngozi ya kwapa. Kuacha kutumia nashndwa kwa sabu natoka jasho sana na linatoa harufu kali. Help plz
Back
Top Bottom