Naomba msaada nitumie njia gan ili nisiwashwe na kutoka mapele au rashes kwapan nikitumia deodorant ya aina yoyote au body spray ikigusa ngozi ya kwapa. Kuacha kutumia nashndwa kwa sabu natoka jasho sana na linatoa harufu kali. Help plz
Kutibu harufu kali ya jasho tumia ndimu au limao, unaweza kukata kipande na kusugua kwapa kaa kama nusu saa kabla ya kuoga.
Ukimaliza tatizo la harufu usitumie spray, tafuta perfume ya nguo. ..kila mtu na ngozi yake, wengine wako sensitive kwa viungo vya spray, pia kuna Aina ya viwembe vya kunyolea huleta mshituko wa ngozi hivyo unawashwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.