Search results

  1. gwakipanga

    Kiti cha Malafyale

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na mfalme katika kisiwa fulani ambaye akilijulikana kwa jina la malafyale. Huyu malafyale mungu alimjalia hekima, na kwa hekima zake ndiko kulipelekea kukitwaa kisiwa mikononi mwa wakoloni pasipo kumwaga damu. Kwa vile malafyale alikuwa na akili sana, akaona...
  2. gwakipanga

    Mwenye kujua tafsiri ya ndoto hii

    Nilikuwa natembea njiani, ghafla nikamuana mtu ninaemjua, mkononi kashika panga na chepe, kwajinsi nilivyomuona kama amekuwa chizi. Kwajinsi tulivyo angaliana akakunja sura na kutoa ishara kama nirudi nilikotoka, nageuka nyuma naona paka wawili weusi wamekaa sawa sawa kisha wamekenua meno...
  3. gwakipanga

    Root phone

    Naomba msaada naitaji kuroot tb lenovo S6000-H 4.2.2 , maana nimejaribu kudowload app za kuroot phone lakini azisuport kwenye hii tablet
  4. gwakipanga

    hodi janvinia

    poleni na majukumu mabibi na mabwana napiga hodi katika jamvin hii rasmi baada ya kufatilia michango ya wanajamii kwa muda mrefu nimeamua kujiunga rasmi naomba ushirikiano wenu.ASANTENI
Back
Top Bottom