Mwenye kujua tafsiri ya ndoto hii

gwakipanga

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
795
636
Nilikuwa natembea njiani, ghafla nikamuana mtu ninaemjua, mkononi kashika panga na chepe, kwajinsi nilivyomuona kama amekuwa chizi. Kwajinsi tulivyo angaliana akakunja sura na kutoa ishara kama nirudi nilikotoka, nageuka nyuma naona paka wawili weusi wamekaa sawa sawa kisha wamekenua meno, nikashikwa na mang'amung'amu ile napiga kelele sauti haitoki kama nimekabwa na jinamizi. Mwenye kujua tafsiri ya hii ndoto msaada tafadhali, mkuu mshana Jr ukichangia itapendeza zaidi. Nawasilisha.
 
Uliota muda gani? Nilishaambiwaga kwamba ndoto za saa 5-8 hazinaga maana yoyote Mshana Jr eti ni kweli mkuu, kwamba ndoto zenye kitu ndani yake ni zile za alfajiri, hizo nyingine ni shibe tu
 
Nilivyo kurupuka tu nikaanza kuandika uzi huu, milango ya SAA kumi kitu kama hicho
 
Unaonesha huwa una hallucinations zinazokujengea woga moyoni. Hii ndoto haina maana yoyote ni recapitulations za yale unayowazaga na kudhania tu.
 
Inawezekana mkuu maana siku ya jana nimewaza sana kuhusu kuokotwa maiti ya msanii mbalamwezi, hiyuo taarifa ilinipa taaruki, inaweza ikawa ndiyo sababu?
 
Nilikuwa natembea njiani, ghafla nikamuana mtu ninaemjua, mkononi kashika panga na chepe, kwajinsi nilivyomuona kama amekuwa chizi. Kwajinsi tulivyo angaliana akakunja sura na kutoa ishara kama nirudi nilikotoka, nageuka nyuma naona paka wawili weusi wamekaa sawa sawa kisha wamekenua meno, nikashikwa na mang'amung'amu ile napiga kelele sauti haitoki kama nimekabwa na jinamizi. Mwenye kujua tafsiri ya hii ndoto msaada tafadhali, mkuu mshana Jr ukichangia itapendeza zaidi. Nawasilisha.

Mkuu, kabla sijatoa tafsiri ya hiyo ndoto, kwanza aje mkuu Mshana jr.
 
Uliota muda gani? Nilishaambiwaga kwamba ndoto za saa 5-8 hazinaga maana yoyote Mshana Jr eti ni kweli mkuu, kwamba ndoto zenye kitu ndani yake ni zile za alfajiri, hizo nyingine ni shibe tu
Muda ni muhimu sana pia kwenye ndoto lakini pia kuna mengi kwenye ndoto...
 
Nilikuwa natembea njiani, ghafla nikamuana mtu ninaemjua, mkononi kashika panga na chepe, kwajinsi nilivyomuona kama amekuwa chizi. Kwajinsi tulivyo angaliana akakunja sura na kutoa ishara kama nirudi nilikotoka, nageuka nyuma naona paka wawili weusi wamekaa sawa sawa kisha wamekenua meno, nikashikwa na mang'amung'amu ile napiga kelele sauti haitoki kama nimekabwa na jinamizi. Mwenye kujua tafsiri ya hii ndoto msaada tafadhali, mkuu mshana Jr ukichangia itapendeza zaidi. Nawasilisha.
Hii ndoto ni ya wazi mno.. Roho yako ilikuwa imetoka kuivinjari dunia.. Ni katika harakati za kurudi ikawa inakutana na hivyo vikwazo.... Kikwazo Kibaya ni hicho kilichokuwa mbele kwakuwa kama kingefanikiwa ungekufa..... Kikwazo cha nyuma ni chenye heri kwakuwa kama kisingekutisha ungeweza kurudi nyuma
 
Tayari.. Tafadhali endelea

mkuu we noma uko makini sana
 
Nashukuru mkuu mshana kwa tafsiri hii, maana hii mipaka ndiyo iliyonitisha zaidi. Nikahisi wanna wapo mzigoni.:D:D:D
 
Nijaziee kidogo apo walipo ongea wajumbe.
Ukweli ni kwamba,si kira ndoto ina maana ya kuleta maana kwa muhotaji au jamii.ndoto za zenye kuleta maana pana zaidi ni zile ziotwazo kuazia saa 8 usiku na saa 10 alfajiri.tofauti na hapo zinakua ni ndoto zinazo tokana na hisia,mawazo na vitisho.
Nije ktk ndoto yako.
Kuota mtu kashika zana zozote ni ishara ya tukio la huzuni.
Yaani vita,kifo,majeruhi nk.
Hizo nyua nyeusi zenye kuonyesha meno.
Tafsili inakuja palepale huzuni,kilio majanga.kwa ujumla ndoto yako inaonyesha ishara mbaya sana. kuazia leo chunguza kuazia jirani zako,rafiki zako,ndugu na jamaa.utapata kitu.LA mwisho usipende kuweka bayana ndoto zako.
 
Nashukuru kiongozi. Ila sasa hiyo la mwisho unaweza kunijazia kîdogo, tonapoweka ndoto zetu hapa ni msaada Wa kupata tafsiri. Unaweza kutuambia hasara ambazo unaweza kupata pindi ndoto zikiwa bayana.
 
Back
Top Bottom