ARV, mseto, dawa za tb na madawa menhine chungu nzima wangeweza kuyatumia na kitu rahisi zaidi ni kwamba wataalamu wetu wa afya wana utaalamu kiwango cha chini sana sio rahisi kutambua kama dawa zitakuwa zimewekwa vya kuwekwa.
HII MISSION KWA MZUNGU NI NDOGO SANA
Okay asante kwa kunielewesha ulicho maanisha, twende kwenye jibu:
Sababu za watu weusi ni masikini na wazembe hususani kuzingatia mambo ya afya tofauti na weupe ndio maana sio HOV peke yake ila hata magonjwa mengine mengi sisi ndio vinara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.