Search results

  1. Kinkunti El Perdedo

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bila kusahau Wazanzibar wanawatawala Watanganyika.
  2. Kinkunti El Perdedo

    Rais Samia Suluhu Hassan, ni Mnyenyekevu kwa Watu Wote, Tuwaombee na Wasaidizi wake kuanzia ngazi ya Mkoa wawe hivyo

    Rais wa Zambia Hichilema kasha wahi sema kwamba inapo tokea rais wa nchi kufanya mambo ya hovyo lawama hupelekwa kwa washauri na wasaidizi na mwisho kabisa akasema,wanashindwa kutambua kuwa hao washauri na wasaidizi ni reflection ya kiongozi mwenyewe.
  3. Kinkunti El Perdedo

    Askari Polisi aliyestaafu baada ya kufanya kazi miaka 30 analipwa kiinua mgongo Tsh. 18M ambacho ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja wa Mbunge?

    Yesu alisema kila mtu atabeba msalaba wake.Matendo yako ndio mshahara wako.police acha wale waliko peleka mboga. Police ni miongoni mwa watumishi wasio stahili kupiganiwa maana wamejaa mazuzu na wapumbavu.
  4. Kinkunti El Perdedo

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Na huwa unadai anafaa kuwa CEO wa kampuni yetu,lakini hapa naona unampiga za uso.
  5. Kinkunti El Perdedo

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Hizo mbwembwe zipo Afrika kwa wapumbavu.Comrade Hitler aliwanyoosha kisawa Sawa,mpaka leo wakisikia Wanazi wanakumbuka yaliyo wakuta kwenye zile kambi.
  6. Kinkunti El Perdedo

    Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hicho kitu angefanya Urusi au China LGBTQ wangekuja na nyuzi za udikteta.
  7. Kinkunti El Perdedo

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Kwani the system aka DP wana maoni gani? Wale wazee wa St Peter operation imefika wapi ?
  8. Kinkunti El Perdedo

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Tuambie kipindi nchi ipo katika mfumo wa chama kimoja ilipiga hatua gani kubwa ya kimaendeleo ?
  9. Kinkunti El Perdedo

    Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Mama katunikiwa PhD ya heshima ya uchumi uko Uturuki.
  10. Kinkunti El Perdedo

    Hivi ni nani alipitisha Kikokotoo, mbona Wabunge wa CCM wanakikataa, au ni Utapeli wa kisiasa kuelekea Uchaguzi?

    Nilipo soma huu Uzi nimekumbuka ya Job Ndugai kuhusu sakata la bandari ya Bagamoyo na sheria ya uhifadhi kuhusu mifugo.
  11. Kinkunti El Perdedo

    Wakati tuko Busy na Yanga na Simba watu wanagawana nchi

    Idadi kubwa ya wapumbavu siku zote,hupaswa kuongozwa na kundi la wenye akili wachache na mageuzi yatapatikana lakini ikiwa kinyume chake ni Sawa na ndoto za Alnacha. Tanzania tuna shida ya kukubali upumbavu na wapumbavu ndo wenye madaraka.
  12. Kinkunti El Perdedo

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Katika mchakato wa kusanifisha Lugha ya Kiswahili,Wakenya walipinga sana lahaja ya kiunguja kuwa ndo lahaja ya usanifu wa Kiswahili,nadhani kasumba hii ndo sababu wao kutumia lahaja zao hasa kilamu.
  13. Kinkunti El Perdedo

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Usanifu wa Kiswahili katika mazungumzo ni nadra sana,kupata matamshi sahihi ya sarufi ya Kiswahili kunahitajika umakini ulio toshevu kwa wenye kuifahamu lugha.
  14. Kinkunti El Perdedo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Tanzania hakuna Bunge,bali kundi la wapumbavu wenye kutumia Kodi za walalahoi hovyo.
  15. Kinkunti El Perdedo

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Kataa kubali huo ndio ukweli wenyewe,huwezi weka katika uzani ulio sawa Kati ya uongozi wa nyumbani na nchi.Hapa anajadiliwa Mandella wewe unaleta mambo ya mke. Ndo yale yale alisema Botho "Mwafrika anapenda sana ngono na kuoa wanawake wengi".
  16. Kinkunti El Perdedo

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Umemuuliza swali nzuri sana,Mimi binafsi huwa nawaza ikiwa mambo madogo kama mipango miji,maji Safi na salama,afya,Elimu nk tumeshindwa tutaweza mipango ya maendeleo ya kiuchumi kweli ? Kipindi taifa kama SA likiweka mipango ya taasisi imara na sio mtu imara,Tanzania ilikuwa ikiimba mapambia ya...
  17. Kinkunti El Perdedo

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Kaburu Botha alisha wahi sema " mwafrika hawezi kujitawala" jambo hili hata Malkia Elizabeth aliwahi kuwaambia wapigania uhuru wa kiafrika kwamba nyie mnadai uhuru lakini uwezo wa kujitawala hamna. Na ukiangalia ni kweli Yale walio yapinga enzi za Ukoloni ndo yale yale walikujaa kuyakumbatia...
Back
Top Bottom