BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,716
- 6,522
Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali.
watawala kujazilishia wakabuni na Idea ya kununua Goli sh milion 10. Fikiria wananunua goli milion 10 na unapata Text kutoka kwa mzazi wako kijijini anataka pesa ya kununulia dawa make kwenye kituo cha afya hakina dawa zaidi ya Panadol.
Na wajinga tunaona ni sawa mgoli yanunuliwe ilihali kuna shule hazina matundu ya vyooo kabisa wanafunzi wanajisaidia vichakani.Kuna Zahanati hazina dawa kabisa.
Watanzania kutwa nzima ni habari za Mpirawa Yanga na Simba, unakuta mtu hajanywa hata Chai kwa sababu ya umasikini wa kutengenezwa na CCM ila kutwa nzima ni Yanga na Simba.Hakuna kitu kingine anakijua.
Hizi FM station nazo ni hivyo hivyo, kutwa nzima ni maada za michezo hawana maada zingine.Huwezi kukuta kituo cha Redio kinajadili hata maswala ya kodi,hio ni maada ngumu sana kwao.
Na watawala wanafurahia sana kuona Watanzania wako busy na Mpira, hii ni faida kwao make wanajipigia bila wasiwasi.
Ndio hio mianya wanaitumia hata wakina Mwigulu kuanza kuandaa watoto wao kuja kitawala watoto wetu, make hata watoto wetu tumewaambukiza ujinga huu huu.Watoto wanajifunza kutoka kwa wazazi wao, kama wazazu kutwa nzima ni maada za Mpira, hata na wao watakuwa hivyo hivyo.