Search results

  1. lugabussa

    Natafuta mke wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 27, naishi mkoa wa Kigoma, natafuta mke wa kuishi naye maishani na tuwe mke na mume. Sifa zangu muoaji 1. Elimu ngazi Shahada ya Kwanza(Bachelor degree). 2. Mwembamba kiumbo. 3. Mrefu. 4. Kazi - Shughuli ndogondogo, bado sijaajiriwa. 5. Dini - Islamic. 6. Sina mtoto...
  2. lugabussa

    Naombeni kazi au mwenye connection ya kazi ualimu na vibarua vya ujenzi (saidia fundi)

    Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM Elimu Ualimu wa chemistry & Biology (SUA) Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga blandering Kazi ninazohitaji -Kufundisha masomo ya kemia na bioloji kwa shule za private jamani ata part...
  3. lugabussa

    Naombeni ufafanuzi juu ya haya

    Je kunautofauti gani kati ya bachelor of science with education (chemistry and biology) na bachelor of education in science ( chemistry and biology) katika upande wa job opportunities na upana katika kujiendeleza kielimu
  4. lugabussa

    Kati ya Bachelor of Science in Chemistry na Bachelor of Science in Education (Chemistry & biology) ipi bora zaidi?

Back
Top Bottom