Search results

  1. Manywele.

    Nani bingwa kati ya madaktari hawa watatu?

    Madaktari bingwa kutoka tanzania,china na ujerumani walikutana kuelezea mafanikio ktk nchi zao. Akaanza daktari wa ujerumani akasema kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamuwekea ya bandia na sasa ni mwanariadha maarufu na anamedani tatu za dhahabu, dr.kutoka china akasema kwetu alizaliwa mtoto...
  2. Manywele.

    Nje ya ukatibu wenezi wa ccm taifa, nape ni nani pia katika ccm?

    Jana jioni katika taarifa ya habari ITV nilimsikia Nape akisema "hata akibaki peke yake CCM haitakufa" nika baki na maswali kichwani je, yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama, au kashaona kuwa viongozi wote na wana CCM Wote wako mguu nje mguu ndan ktk chama hicho kuwa mda wowote wanaweza...
  3. Manywele.

    Waliofanya aplication JKT.

    Wana Jf naombeni kuuliza hivi wale walio fanya aplication za kujiunga na jesh la jkt wameshaanza mafunzo, pia watakaa mda gani hadi kujiunga na JWTZ tena?
  4. Manywele.

    Ufisadi umezidi jimbo la Ismani kwa Lukuvi

    Kadri siku zinavokwenda ndivyo hali inavyokuwa tia maji tia maji katika jimbo la ismani kwa mheshimiwa Lukuvi kuanzia kijijini kwake Idodi na maeneo mengine jimboni humo. Tatizo kubwa linalozidi kuwa sugu kila kukicha ni maji ambapo vyanzo vyake vinazidi kukauka kila kukicha, na miundo mbinu...
  5. Manywele.

    Madaktari bingwa watatu.

    Madaktari bingwa kutoka nchi tatu yaani Tanzania,Germany na China walikutana kuelezea mafanikio ya nchi yao. Akaanza mchina kwa kusema kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamuwekea ya bandia na sasa ni mpiganaji karate maarufu, akaja mjeruman akasema sisi alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea...
Back
Top Bottom