Search results

  1. Tumaini z

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    Hii biomedical engineering soko lake limekaaje, yaan kujiajiri au kuajiriwa
  2. Tumaini z

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    [emoji4]haya maneno umenikumbusha maisha ya jeshin
  3. Tumaini z

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Nmekula kibishi, sa ntamwaga hela mkuu
  4. Tumaini z

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu me ndo Kwanza nna wiki moja getto. Cku ya kwanza nilipika mchele, nkatoa bonge moja la boko wali kama ugali vle, Ila asa hv nmekuwa fundi kimtindo
  5. Tumaini z

    Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

    Kasikilize wimbo wa Nikki Mbishi, kijusi.
  6. Tumaini z

    Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

    Kwa chemistry tafuta vitabu vya Ngaiza, atashukuru sana baadae
  7. Tumaini z

    Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

    Kwamana hiyo badala ya elfu kumi sasa utalipa elfu 24 Kwa mwaka
  8. Tumaini z

    Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

    Niliokuwa Kwa mujibu was Sheria, nulimuuliza private mmoja khusu mshahara wa commando,akasema commando ni Cheo Cha kisen....inabidi baada ya mda uwe umetulia na familia yako umechill.co maisha yote porini tu,hata mishahara Yao wamawazid kidogo tu.
  9. Tumaini z

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Me nikisikia unju bin unuq, najua ni Nikki Mbishi
  10. Tumaini z

    Yawezekana Afande Sele yupo Sahihi?

    Huwezi ukasema Mungu hayupo wakat haumjui.Nisawasawa na umekutana na mtu kwenye sherehe,alaf unamuuliza umemwona Joseph ukumbini?anakujibu sijamwona,unamuuliza unamjua lakin? Anakujibu cmjui.unabaki kushangaa sasa amejuaje Kama Joseph hayupo ukumbini wakat hamjui.Vivohivyo hatuwezi kusema Mungu...
  11. Tumaini z

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Punguzeni presha wadau,me naona haya mambo bahati tu sometimes,muombeni Mungu Kama ni baht bac na nyie iwaangukie.kama cc wengine tumeripoti chuo hatujui tutasomaje tukikosa mkopo,lakini tumeomba Mungu Kama baht bac na me mnyonge npate,na Kuna wengine had sa hv hawajapata Kama nyie wameamua...
  12. Tumaini z

    Utaratibu wa kuapisha Wabunge waliochaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu

    Hivi kwann wabunge wa kuteuliwa had sa hv hawajaapishwa mbona wa viti maalum ilikuwa mapema tu,hoka c kuwaapisha haraka wawahi kuwatumikia wananch au??
  13. Tumaini z

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Hawajatangaza,hata sa hv hanna matangazo waliyoweka me Jana nakumbuka nawaza kishenzi ntasomaje bila mkopo,nkaamua kuingia tu SIPA,nikakuta mzigo umetema.cjui wanaangalia vigezo gani Hawa jamaa au cjui ndo BAHATI,
  14. Tumaini z

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Matangazo hawajaweka ila nimeingia SIPA nimekuta mzigo umetema
  15. Tumaini z

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Nimepata mkuu uwezi amini,yan najihis mwepesi hapa,dah ngoja nimcheki loan officer faster
Back
Top Bottom