Search results

  1. nyalujama

    Huyu msanii anaitwa nani

    Hivi huyu mwamba huwa naona picha yake inatumika sana hivi amecheza movie au series gani nahitaji kufahamu
  2. nyalujama

    Introvert: Huu ndio uhalisia wa mahusiano yangu ya kimapenzi

    Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana. Shida ni kwamba sina furaha kabisa coz tokea nijue habari za mahusiano sijawahi pata mtu ninayempenda coz...
  3. nyalujama

    Vile nilivyompotezea huyu mtoto kimasihara

    Ilikuwa ni mwaka2017 nilipomkuta huyu mtoto katika stationary moja pale dar nikihitaji mahitaji fulani. Mtoto nikamwelewa sana but akadai ana mtu wake licha ya kumfukuzia sana basi nikaona isiwe vibaya ikabidi niwe tu friend ili mradi niwe nakula hata kwa macho.. Basi tukazoeana hata akawa...
  4. nyalujama

    Ndio naingia jamani member mpya

    Nashukuru kujiunga na chama hili la jamii forum nimekuwa msomaji wa muda mrefu Sasa rasmi ndani ya mjengo Nawasilisha
Back
Top Bottom