Search results

  1. Nizzo

    Samsung galaxy tab inauzwa

    weka bei...
  2. Nizzo

    series ya Acapulco Bay

    wakuu hii tv ilikuwa inaoneshwa na ITV miaka ya nyuma kidogo! je kuna yeyote anaweza kunisaidia kuipata hata kwa gharama kidogo...please please msaada kwa yeyote.
  3. Nizzo

    Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Wilaya ya Longido, arejea CCM na kupokelewa na Kinana.

    ndo hivyo mkuu..huyu changulana ni mzushi sana....huyo mlevi waliomuokota kwenye pombe za kienyeji tu..hana cheo chochote chamani mkuu.....
  4. Nizzo

    Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Wilaya ya Longido, arejea CCM na kupokelewa na Kinana.

    Wakuu Katibu mwenezi chadema wilaya anaitwa kamanda Isaya Noah Mollel....huyo waliyempeleka ni mchumia tumbo....
  5. Nizzo

    Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Wilaya ya Longido, arejea CCM na kupokelewa na Kinana.

    me nakanusha hana cheo chochote chamani ni mchumia tumbo na katibu mwenezi ccm ajulikanae kwa jina la Tostao ndo amemnunulia pombe na kumshawaishi adai yeye ndo katibu mwenezi....na tunajua Tostao anafanya hivyo kwa sababu anataka udiwani but hapa ataisoma number tumejipanga kuwagalagaza kama...
  6. Nizzo

    Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Wilaya ya Longido, arejea CCM na kupokelewa na Kinana.

    me nipo longido na mkazi wa pale huyo c katibu mwenezi na hana cheo chochote ndani ya chama wilaya ni mlevi tu ccm wamemchukua na kumtaka aseme hivyo...na aliyofanya hayo ni katibu mwenezi ccm nayejulikana kama Tostao ambaye anataka udiwani so kaamua kuwapiga changalamoto kinana na nape ili...
  7. Nizzo

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    huyo changudoa aliyeleta uzushi wake hapa yupo wap!? akawambie mabwana zake ccm uongo wake umejulikqna watafute gear nyingine
  8. Nizzo

    Umoja wa Machinga wampatia Lowassa fedha za fomu ya urais

    haya tumewasikia...lakini muache kutoa makafara ndugu...mtawamaliza watanzania aisee...mpaka ifike october albino wataisha
  9. Nizzo

    Arusha: Kinana akosa miradi ya CCM ya kuzindua Arusha

    hilo liDC limekaa pale miaka yote hayo but hakuna lilichofanya....mji unashida ya maji kama nini lakinji maccm yapo tu....Injinia wa maji na DED wana kesi TAKUKURU ya kuchakachua mradi wa maji lakini bado wapo ofcn...wampeleke kinana akafungue hicho kisima cha maji walichochakachua...
  10. Nizzo

    Arusha: Kinana akosa miradi ya CCM ya kuzindua Arusha

    tunamsubiri kwa hamu....
  11. Nizzo

    Arusha: Kinana akosa miradi ya CCM ya kuzindua Arusha

    hata longido nasikia anakuja tarhe 16 mwezi huu...hakuna mradi wa kufungua so wameomba kwa NGO inayoitwa TEMBO ambao wanajenga librarly kubwa ya wilaya eti afungue....nasikia wenyewe wamekataa so wanahaha kuwaomba wakubali angalau apite tu aangalia then asepe.....Shame maccm...
  12. Nizzo

    Gari zote hizi on sale pata yako hapa

    picha hazifunguki Mkuu....nataka niione hiyo creater kaka!
  13. Nizzo

    Car for sale

    Mkuu lishawahi pigwa rangi bongo? je 6m inalipa?
  14. Nizzo

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    gari bado ipo Mkuu?
  15. Nizzo

    nauza gari spacio 5.5milion

    picha Mkuu...afu ipo WAP?
  16. Nizzo

    bunge la katiba ladoda

    asanteeee...
  17. Nizzo

    Nahitaji gx 110 mark 11 grandee...

    wakuu hakuna mwenye Hui ndinga...
Back
Top Bottom