Search results

  1. thephilanthropist

    Naomba kupata msaada wa kisheria kidogo kwenye hili

    Kuna jamaa mmoja hapa mtaani aliniuzia kitu flani kama miezi miwili hivi iliopita. Tuliuziaba tu kienyeji hapakua na shadihi yoyote wala kuandukiana. Sasa hicho kitu ambacho aliniuzia nikataka kukisafirisha kukipeleka mkoa X nikakiuze nikawa natafuta mtu wa kumpa aende nacho. Nikaja kumpa...
  2. thephilanthropist

    INAUZWA Nauza PS5 (Next generation console)

    Ps5 2 Controllers 1CD (Ghost Of Tsushima) Condition - Used 1month Price:*1,950,000/= •Call/txt/Wasap *0658825054 Location Magomeni Mapipa.
  3. thephilanthropist

    INAUZWA Jipatie blender imara na kuaminika

    Kenwood Bei : 120000 Star Strong Bei :85000 Vilevile kuna Air Frier zile za kuchomea chipsi bila kutumia mafuta pia zipo Location : Kigamboni na chuo DMI Posta Mawasiliano: 0658825054
  4. thephilanthropist

    Ps 4 slim inauzwa

    Ps 4 slim 2 controlers Cd :fifa 20 Hdmi&Power cable Call/ Whatsapp: 0658 825054 Location: Kigamboni
  5. thephilanthropist

    Men and Sex, A man looses food values of nutrients equivalent to his monthly nutrient build up

    NOT FUNNY AT ALL.... MEN AND SEX: Medically, men lose 12% of their blood sugar during every round of sex, they also lose 10% of their protein level and also lose 10% of their calorie level. Worse still is, you also lose 15% of your natural energy. What do ladies lose? Only 5% of their water...
  6. thephilanthropist

    Mbunge wa Jimbo la Gando kisiwani Pemba, Salim Mussa Omar atahadharisha kuhusu matapeli wa mtandaoni

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, Salim Mussa Omar ametahadharisha kuhusu uwepo wa wimbi kubwa wa wizi matapeli wa mtandaoni. Katika siku za karibuni kumeibuka watu wengi ambao wanajifanya wanauza vitu vya kielectroniki kama simu, laptop, Games consoles (Ps3, Ps4, Xbox one) ambao wanauza...
  7. thephilanthropist

    Hivi hii mitandao ya simu inatuona sisi ni watoto wadogo

    Pata Dk 220 BURE kupiga mitandao yote SMS 100 na MB 50 za Intaneti kwa Tsh 3000 Muda siku 7. Jiunge Sasa Piga *149*15*3#.Kujua Dk Zako piga *102*01# Sasa hii Sh 3000 mmenipa nyinyi ata mniambie kua nipate Dk 220 bure wakati hio ni hela yangu ambayo mmeitafuta kwa jasho langu. Jambo jengine mi...
Back
Top Bottom