Mbunge wa Jimbo la Gando kisiwani Pemba, Salim Mussa Omar atahadharisha kuhusu matapeli wa mtandaoni

thephilanthropist

Senior Member
Aug 28, 2020
171
262
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, Salim Mussa Omar ametahadharisha kuhusu uwepo wa wimbi kubwa wa wizi matapeli wa mtandaoni.

Katika siku za karibuni kumeibuka watu wengi ambao wanajifanya wanauza vitu vya kielectroniki kama simu, laptop, Games consoles (Ps3, Ps4, Xbox one) ambao wanauza kwa bei rahisi sana, Watu hawa wanajifanya wapo Zanzibar ila sio kweli ni matapeli wakubwa.

Na kwa jinsi wa Tanzania tunavopenda mteremko wengi wetu tunaingia chaka, hii ni kutokana na wengi wetu tunaamini watu wa visiwani ni waaminifu.


Screenshot_20210302_180059.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom