Labda kama unavyosema kuwa hizo sheria ni kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa ila nimeshawahi kupokea mpaka 20k$ na ilinichukua wiki mbili tu kukamilisha maelezo na pesa ikaingia kwenye account yangu tayari
Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.