Search results

  1. Dr Maja

    Kuna tatizo gan St Fransic university Ifakara.

    Ukiona kimezuiliwa kudahili, basi tambua kwamba hakijakidhi vigezo. Na pia sidhani kama unazijua product zote za hapo mpaka utoe hiyo conclusion kwamba ni product nzuri
  2. Dr Maja

    Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

    Kwahiyo ulitaka kumuona Virus kwa macho? Na udogo wake! Vipi bacteria anayesababisha kipindupindu ulimuona? Na nani kasema upungufu wa kinga ndio unaoambukizwa?
  3. Dr Maja

    Kwenye suala la HIV na UKIMWI wazungu walitupiga? Nini kifanyike?

    Huu uzi umejaa wajinga wa kushikiana akili. Hivi nani kawaambia vipimo vya UKIMWI vinapima upungufu wa kinga? Vipo vipimo vya aina nyingi, kuna ambavyo ni vya antigen, antibody, Na vingine HIV mwenyewe! Muna uelewa mdogo wa mambo ya afya halafu mnapotoshana! Kama ulipima ukawa positive...
  4. Dr Maja

    Nitawahukumu kunyongwa

    Wakiwa mahakamani katika kesi, wakili wa mashtaka alimwita shahidi wake wa kwanza, bibi, mama mzee mwenye msimamo. Alimfuata na kumuuliza, 'Bi. Jones, unanijua? Bibialijibu, 'Kwa nini, ndio, ninakujua, Bwana Williams. Nimekujua tangu utotoni, na kwambia ukweli, ulikuwa una nitongoza. Unasema...
  5. Dr Maja

    Mwigulu Nchemba: Uchumi wa Tanzania umekua licha ya mlipuko wa COVID-19. Deni la Serikali ni himilivu

    Mbona mnashindwa kumuelewa? You are thinking emotionally! Amesema ni moja kati ya nchi chache zilizokuwa na ukuaji uchumi chanya 2020. Au kwenye hiyo 4.8% mmeona alama ya negative? Na ni kweli nchi nyingi duniani uchumi ulikuwa unasoma negative something. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Dr Maja

    Toka Mtandaoni: Wasomi wa Kale vs Wa Sasa

    Bandiko bovu sana! Vitu vingi ni 'mere assumptions' humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Dr Maja

    Njoo tufahamiane tulichaguliwa kidato cha tano 2021

    Hata mimi kuna dogo langu kapangiwa huko CBG! Ila shule bado nafasi moja iingie kumi bovu kitaifa mwaka jana [emoji23][emoji23] Inaonekana hata mazingira yake sio mazuri kwa matokeo yale asee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Dr Maja

    Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine. Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo. Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
  9. Dr Maja

    Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

    Kuna watu wanaushambulia huu uzi utadhani kufaulu ni dhambi [emoji16][emoji16][emoji16] Problem talk creates problems. Solution talk creates solutions Ingependeza kama tungejikita zaidi kwenye kujadili nini kifanyike badala ya kujadili kila leo matokeo mabovu ya elimu yetu. Je nini kifanyike...
  10. Dr Maja

    Idadi ndogo ya udahili wa wanafunzi waliotoka Diploma UDSM inasabishwa na nini?

    ... Ya uongo* Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Dr Maja

    Nataka kusoma PCB mwaka mmoja

    Kusoma PCB mwaka mmoja inawezekana. Inategemea na kichwa chako na malengo yako pia. Ni ngumu mno kupata matokeo makubwa kwa kusoma PCB ndani ya mwaka mmoja! Kama unataka tu div IV ukijitahidi sana III unaweza kujaribu. Kuhusu past papers tembelea tovuti ya Maktaba tetea... Unaweza search...
  12. Dr Maja

    Hakuna namna utaikimbia Hesabu

    "tena zisizo na tija" MD haina tija mkuu? [emoji848] Anyway, nakubaliana na wewe hesabu ni muhimu. Lakini kuna kozi kibao chuo kikuu ambazo hazihitaji umaridadi wako katika hesabu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dr Maja

    Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Sawa tufanye itachukua miaka 15, au hata 20! Lakini usikatae ndio investment inayowafaa zaidi watumishi. Naona una'oversimplify' mambo.. Hizo tenda zinapatikana kirahisi hivyo? Ukweli ni huu : kama ni muajiriwa inakuwia ngumu mno kufanya biashara zinazotaka muda na ambazo ni very risky. The...
  14. Dr Maja

    Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    "ndio biashara ya wavivu wa kufikiri" at the same time "inawafaa wenye hela ndefu" [emoji848] Kwani wenye hela ndefu ni wavivu kufikiri? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Dr Maja

    Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

    Sio kweli. Actually wanaotoka diploma ndio wanapata tabu zaidi chuo kikuu.
  16. Dr Maja

    Swali kwa wizara ya elimu

    Wanafanya mitihani mbona, na vyeti pia wanapewa mkuu. Fanya research..
Back
Top Bottom