Search results

  1. Najiona Mimi

    Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    Endelea kufanya unachokiona bora na sahihi kwako.
  2. Najiona Mimi

    Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    Punyeto ina madhara ila madhara yake naweza sema karibia yote ni ya kisaikolojia yani effect zake ni za kwenye ubongo ila sio physically. Mfano nyeto inapelekea mtu kutokujiamini hii ukiifatilia vizur inasababishwa na ile hali ya mtu kuanza kujishtukia na kuhisi watu waliomzunguka wanajua...
  3. Najiona Mimi

    Wiki ya pili leo sijapata AVN Number nisaidieni wakuu

    Nenda ofisi za nacte pale mwenge ITV,trust me unapata siku hiyo hiyo ikiwa tu matokeo yalishatumwa kwao. Kuna dogo nilimshauri pia alienda akapata chap.
  4. Najiona Mimi

    Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Poleni sana jirani,binafsi namfaham mzee(aliyepotea).Pia n jirani yenu.Natanguliza pole. Si nilisikia baba alikua n mmoja wa watu waliokua wanadai sirikali! Au ulikua ni uzushi tu? Na inasemekana ndo chanzo cha kupotea kwake maana kwa hali ya kawaida labda uwe mafia yani umpoteze mtu na gari...
  5. Najiona Mimi

    Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Pole sana kaka,kwa unachopitia.
  6. Najiona Mimi

    Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Pole sana man,i can feel your pain bro
  7. Najiona Mimi

    Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Ukishajua thamani yako bas uwez umizwa na mapenzi,kwann ulazimishwe kupendwa na mtu ambaye haoni thamani yako!!
  8. Najiona Mimi

    Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

    Single maza,mwanamke aliyekua kwenye uhusiano na mwanaume zaidi ya miaka 5,hapa na maana kwenye hyo miaka 5 walikua wanachakatana bas usije ukawaweka moyoni hzo type mbili za wanawake,ni rahisi kurudiwa na maex wao!!
  9. Najiona Mimi

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Unaonekana mtamu sana ww
  10. Najiona Mimi

    Usioe Mwanamke asiyekupenda

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ndo wenye mapenzi ya dhati!!
  11. Najiona Mimi

    Usioe Mwanamke asiyekupenda

    Nafikiri upo sahihi 100%
  12. Najiona Mimi

    Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

    Du mpe pole sana,kabla hajachukua huo uamuzi ww ulimshauri nn kama rafik yake??
  13. Najiona Mimi

    Billboard Afrobeat chart top 50

    Ufatilii mzik ww!!kuna chart za uingereza za afrobeat toka zimeanza kutoka hzo chart cjawah ona ngoma ya east africa,tunadanganyana tu mzik wetu bado sana
  14. Najiona Mimi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimecheka sana aseeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Najiona Mimi

    Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Mm kuna Demu mmoja mwaka jana tu nilifahamiana nae kupitia rafik yang wa kike,alimuweka status ya kumuwish hbd then nikamuomba namba yake akanipa sema akunipanga vzur. Sasa nikawa nachat nae naongea nae video calls sana tu,ikatokea tukawa marafik wakubwa sana kumbe yule manzi alikua yupo nje ya...
  16. Najiona Mimi

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Hahahaha kumbe[emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom