Search results

  1. A

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Mm ni Mtanganyika na sioni faida ya muungano kwangu. Kwa namna wanzibar wanavyowanyanyasa wa watu wa bara ni dhahiri huu muungano ni kwa faida ya hao ccm waliopo madarakani ila sio kwa watanganyika wa kawaida
  2. A

    Hakuna haja ya uchaguzi 2024, na 2025

    Hivi kuna haja gani ya kufanya uchaguzi 2025 wakati viongozi wanapanga wao. Kwanini wasichaguane wenyewe kwenye chama na hayo mabilio ya pesa yakafanya mambo mengine?
  3. A

    Wazazi hawamtaki mpenzi wangu kisa anafanya kazi ya uhudumu wa baa

    Nikijipanga uwezo huo ninao tatizo la bi mkubwa ni kwamba tyr anahistoria ya kuuza baa hivyo hataki kabisa kusikia.
  4. A

    Wazazi hawamtaki mpenzi wangu kisa anafanya kazi ya uhudumu wa baa

    Hapana nimepanga sema home ni hapahapa dar
  5. A

    Wazazi hawamtaki mpenzi wangu kisa anafanya kazi ya uhudumu wa baa

    Rangi ya ngozi yake ni nyeusi, urefu wa kimo tunaendana japo nimemzidi kidogo. Napenda sauti yake anaponiita mpenzi wangu Errick. Ananishauri sana kuhusu maisha na pale ninapo mshauri kuhusu jambo lolote hulifanyia kazi bila kipangamizi chochote. Vumi amekuwa faraja kwangu na nimezama kwenye...
  6. A

    2022 Tutatoboa?

    Ni siku ya pili ya mwaka 2022. Wapo watu ambao tayari washapanga malengo na mipango kwa mwaka huu wengine bado tunaendelea kupanga nini tufanye. Jambo moja ambalo litatusaidia kufikia malengo yetu ni kuwa na IMANI ya ushindi juu ya mipango na malengo yetu. Ni vyema kuwa na malengo lakini kuwa...
  7. A

    Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

    [emoji1787][emoji1787]
  8. A

    Kwa kheri 2021.

    Pole sana ndugu, na yatupasa kushukuru kwa kila jambo.
Back
Top Bottom