Search results

  1. K

    Movie na series unazozipenda

    Me ni mpenzi wa series za south korea na hii ndo top yangu ya nilizoziona.1.JUMONG 2.EMPEROR OF THE SEA 3.THE GREAT QUEEN SEONDEOK 4.THE LAND OF WIND 5.WARRIOR BAEK DONG SOO 6.IRIS 7.THE MOON EMBRACE THE SUN 8.SOLDIER GOD OF WAR 9.SWALLOW THE SUN 10.A MAN CALLED GOD.
  2. K

    Je, wewe ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya tumbo?

    Mkuu ingekuwa njema ungetaja na bei kabisa ili m2 akikutafuta awe amejipanga kabisa.
  3. K

    Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

    Ha ha ha inafurahisha kuona wamekosa vya kuuza had wanajiuza wenyewe
  4. K

    Önly fans of Hiphop

    Mc au mtu chengu/mchenguaji ni yule anayetumia rap kufikisha ujumbe kwa jamii na kuweka jamii sawa,vilevile lazma awe na tungo mahiri zenye vina na mizani na uwezo wa hali juu wa mitambao kwenye midundo,MC lazima awe na uwezo wa kufanya mitindohuru kwa lugha ya kigen freestyle(tungo za papo kwa...
  5. K

    Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    hashimu dogo ni habar nyingine anajua sana huyu mtu duuuh
  6. K

    Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    mkuu kwel unamkubali hashm had leo mistar ipo kichwani
  7. K

    Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

    Ndo style ya kibongo
  8. K

    Msanii wa bongo fleva anatafutwa kwa kuiba simu gesti

    Ina mana O-ten kafikia hatua hii kweli maisha yanachange.
  9. K

    Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

    Sugu kajikaanga mwenyewe kwanza aliamua kujichukulia maamuzi bila kuwataarifu vinega wote sasa hv apambane mwnyw asitegemee atapata support ya mashabik kama mwanzo.
  10. K

    Singasinga Vs Madenge

    Teh teh teh
  11. K

    Msaada wa haraka jamani kwenye hili.

    Ukianza na gongo itakuwa poa
  12. K

    Afande sele haukomi tu !!!!

    Mgambo sele njaa zinamsumbua
  13. K

    cHeKA kiDoGo tuuu, inatosha sana

    kwi kwi kwi kwi
  14. K

    Mwalimu Vs Mwanafunzi

    Teh Teh kaz ipo
  15. K

    Namkubali sana mama Anna Kilango Malecela

    Hana lolote haeleweki yupo upande gani kiufup anafata upepo.
  16. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    United chama kubwa.GGMU
  17. K

    Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

    Sasa hv ccm pamoja na wingi wao lakin wanachezewa nusu uwanja forwad zao zimerud beki
Back
Top Bottom