Nahisi RAJINDER MOTORS yupo vizuri. Yupo authorised na TOYOTA kukata na kuongeza chasis (refer landcruiser ndefu za utalii)
Wangeenda hapo RAJINDER MOTORS.
Tuna nyumba kubwa na nzuri sana tunayoishi maeneo ya Moshi airport kama unapafahamu.
Nyumba nayotaka uza Ilikuwa Ikijengwa na mama wakati flow ya pesa ni kubwa.
Inshort hatuna tatizo la makazi.
Nimezaliwa peke yangu, mama ana nyumba kubwa na nzuri sana anayoishi kwa sasa, hii nayotaka uza alikuwa anaijenga tu kipindi mambo yapo vizuri.
Pia malengo ya mama ni kuniacha katika msingi mzuri wa elimu, hiyo nyumba sio Issue kubwa sana kwake.
Matumaini yangu mnaendelea vyema na maisha.
Mama yangu mpendwa aliyekuwa ananilipia ada chuo ameshindwa kufanya hivyo tena sababu ya uchumi kuwa mgumu kwake.
Alikuwa anajenga nyumba yake ambayo hajaimalizia. Kutokana na hali kuwa ngumu amenipatia nyumba hiyo rasmi na kuniambia niiuze Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.