Search results

  1. Luoman

    CCM waandike kupoteza Jimbo la Rorya

    Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa...
  2. Luoman

    Safari City Project Arusha: Wapi tumekosea kama nchi?

    Habari wana jamvi, Miaka ya 2015-2016 shirika la nyumba la taifa(NHC) lilikuja na plan ya kulifanya jiji la Arusha kuwa miongoni mwa majiji yenye mvuto Afrika. Wakaja na kitu kinaitwa safari city Arusha au Satellite City, ambapo wangejenga hotels, shopping malls, kumbi za mikutano, makazi bora...
  3. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 ndio nipo kidato cha sita mwaka huu, lakini nimekuwa na tatizo la kutoka kwa mkojo mdogo sana au kutoka kwa shida na ata ukitoka bado nahisi kama kuna mkojo umebaki kwenye kibofu lakini nikijaribu kuutoa wote haiwezekani tena. Tatizo hilo limenitesa sio chini ya...
Back
Top Bottom