Search results

  1. winston20

    Pongezi kwa Jeshi la Polisi

    PONGEZI
  2. winston20

    Simulizi: Nyumba ya maajabu

    SURA YA KWANZA 28/3/1989 Ulikuwa ni msafara wa watu watano, wawili kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waandishi wa habari waajiriwa wa kampuni ya Film Tanzania ambayo ilikuwa ni kampuni ya habari na matangazo iliyojihusisha pia uchapaji wa magazeti ya Tabasamu na Sunday, wakati...
  3. winston20

    Vijana wa 2000 wangekutana na hii kitu tungezika wengi

    Nakumbuka kipindi niko kidato cha kwanza kuna muhuni mmoja alinipatia kiasi akasisitiza niweke chini ya ulimi ila nisimeze mate.. Nkajisahau nkameza mate, hahaha nikaanza kuona ardhi inazunguka, ghafla macho yakaanza kupoteza nuru nkaanza kuona wale watu weupe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. winston20

    Notes from the underground

    NOTES FROM THE UNDERGROUND By Fyodor Dostoevsky Part I ___________________ *The author of the diary and the diary itself are, of course, imaginary. Nevertheless it is clear that such persons as the writer of these notes not only may, but positively must, exist in our society, when we...
  5. winston20

    Riwaya:Mfuasi

    MFUASI 01 * * Usiku ni rafiki wa giza! Naam. Giza hupambwa na nyota! Ndivyo. Lakini usiku huu haupo hivyo! Giza limenuna hakuna pambo za nyota wala nuru ya mwezi. Wingu zito limeteka utawala wa anga. Mvua kubwa inazidi kuichapa ardhi kibabe. Ngurumo za radi zinarindima kishari. Vijiji vyote...
  6. winston20

    Riwaya: Doa

    RIWAYA; DOA -----1----- Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati za hapa na pale zilianza kufungwa, watu walianza kujipa uchovu ili mradi tu, warejee majumbani mwao...
  7. winston20

    Maboss bana

    BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa nyongeza wala marupurupu kwa sababu HAKUSTAHILI Akauliza kwa nini? Akaambiwa katika miaka minne...
  8. winston20

    Hahaa

    Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani. Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?" Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!" Jamaa, "Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijana… naomba nirudishwe!"...
  9. winston20

    Cheka kidogo

    USILETE UTANI KATIKA MAPENZI Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua kuandika barua inayosema "Samahani mume wangu, nimeamua kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya mbali na...
  10. winston20

    Pombe Hizi

    Pombe sio supu,cheki hawa..!! Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:- Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi? Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi! Jamaa 1: John is my last name. Jamaa 2: (Akashangaa): Wow! Hata mimi My surname ni John!. Jamaa 1: I'm 19 years old...
  11. winston20

    Riwaya: Genge

    GENGE EP1 JULAI 15, 1991 DIAMOND JUBILEE SAUTI KUBWA YA MUZIKI ilisikika kutoka katika ukumbi huo maarufu jijini Dar es salaam, katika kitongoji maarufu cha Upanga. Ni harusi ya kukata na shoka, kati ya Bi. Egra Mwakasimba na Dastani Kihwelo. Mamia, kama si maelfu ya watu waliujaza ukumbi...
  12. winston20

    Stress ni nini?

    Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.! Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali na akabainika ana mimba dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa baba! Stress ya tatu ni...
  13. winston20

    Paka na Mchina

    Cheka kidogo Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250], ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250], wanawaleta mchina ananunua wote anasepa nao. Anarudi tena anasema vipi, naona wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya 35,000 Paka[emoji250] mmoja...
  14. winston20

    Naomba msaada wa jinsi ya kuset account zaidi ya moja kwenye simu

    Msaada wakuu jinsi ya kuset (multiple users) kwenye simu yangu nataka niset account Mbili moja kwa matumizi yangu na nyingine kwa ajili ya guest users natumia itel A32F
  15. winston20

    Mjini kila Mtu ana matatizo yake

    Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'ania kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema:- " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa changu hiki:…. "Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti...
Back
Top Bottom