Search results

  1. Intl inc

    Kama imewahi kukutokea unaweza kushare experience yako na sisi

    dah kweli wanawake wana huruma kwaiyo aliona umeshindwa kujiongeza akaamua kukusaidia kukuletea tu ulipo na bado ukaharibu vilevile
  2. Intl inc

    Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

    mkumbuke kunawa kila baada ya ku'post reply saw wana jf
  3. Intl inc

    Upendo uliopotea miongoni mwa viongozi wetu

    ni'like wapi wakuuuu!!!
  4. Intl inc

    Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

    Aaaaaahhhh acha utani bhana mbona unataka kuchekesha msiban father 14 years anamiliki simu na redio mpaka sas tena ana kadem pembeni sasa wewe au umeibiwa/ umepoteza? But usikate tamaa endelea kupambana labda ndvyo ulivyoandkiw na Muumba
  5. Intl inc

    Hivi kuna sabuni zinazoongeza hamu ya kuoga?

    mwambie achanganye OMO NA KY atakupa majibu
  6. Intl inc

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    mjin njoo na akili tabia utazikuta
  7. Intl inc

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1. Aje na wenzake 2.pambana na hali yako 3.sura mpya miguu ya zamani 4.charanga kikao cha dharura 5.alokwambia naye kaambiwa
Back
Top Bottom