Search results

  1. R

    Wazoefu Wa Biashara Za Nywele Dar

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar? Natanguliza shukurani zangu
  2. R

    Under value food crops ambazo zinaweza kuwa ni biashara kubwa sana

    Mkuu nahitaji mbegu za Rossela zinapatikana wapi
  3. R

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Mashamba yako maeneo gani, hekari bei gani
  4. R

    Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

    Tutawasiliana vipi mkuu kufahamu zaidi
  5. R

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Nyumba za zamani dari lake lina miti minene Inaitwa miti ya Boriti ndio hii ya Mlingoti?
  6. R

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Yaani hawa mafundi mwisho wao wataumia!!!...
  7. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Akijiachia tu! yeye na choo wote chini
  8. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Kizuri sana, vipi iina himili uzito wa mtu na akikaa ghafla!
  9. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Kinachoonyeshwa hapa ni Accessories za finishing na ndizo anazohitaji, plumbing na stages zote kashamaliza longtime....
  10. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Mkuu tuwekee namba hapa ili na wengine wahitaji wapate
  11. R

    Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Mkuu wazo zuri, tungeona ramani ingependeza
  12. R

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Je Inabidi ufungua Post box address yako binafsi
  13. R

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Vipi kuhusu Hair Wigs, Extensions, Hair Pieces & All about hair
  14. R

    Simtank au Kiboko

    Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni....
  15. R

    Mwezi wa 9 wa mwezi wa Kalenda ya Kiislamu ya Ramadhani 2023 unawasili kuanzia tarehe 23 Machi na kuendelea

    Nimuulize nani na uliyesema ni wewe Nimekijibu "Usiku" Mchana wanafunga Usiku wanakula kuna la ajabu hapo? Wakila usiku kucha wacha tu wale Wewe hupendi? #Tulia Kufunga wafunge wengine, kuumia uumie wewe... weee vipi?
  16. R

    Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Yaani....sijakua vizuri ushaingia mwingine!!
Back
Top Bottom