Search results

  1. A

    Kashifa ya Richmond, Je Serikali ilipoteza fedha kiasi gani?

    Mi nijuavyo ni kuwa tatizo la richmond is more of procurement procedures kuliko wizi au ufisadi. Hule mtambo haukuwa mali ya serikali hivyo issue kubwa ni walipataje kazi. Lakini hata mkataba sifikili kama ulikuwa na shida kama wa IPTL ambao tunajua kuwa gharama zilizokuwa zinatozwa zilikuwa juu...
  2. A

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Ni hoja ya muda mrefu na sasa ni bayana Owawa ndiye mgombea ubunge kupitia CDM jimbo la Rorya. Nimefanikiwa kumsikia jukwaani wanarorya hawatajuta kuwa na Owawa kama mbunge wao. Tumpe support.
  3. A

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    CCM iliacha manyang'au yakapenya yakakiteka leo chama kimepoteza mvuto. Misikiti nayo iliruhusu manyang'au yakapenya misikitini leo uislam unalalamikiwa.
  4. A

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Hapa Lipumba anadhibitisha kuwa elimu si kitu katika dini. Nchi hii hakuna serikali za majimbo hivyo ni ngumu kuwa na sera za kunufaisha maeneo yenye waislam wengi. Tuwe na mjadala wa kitaifa kujua waislam wanashida zipi ambazo watu wengine hawana? Isijekuwa na yale ya mtwara ya kutokunufaika na...
  5. A

    Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete afanya kikao na wabunge wa CCM, leo mjini Dodoma

    Kwani kuna hoja gani Mh anataka wabunge wasiitie dowa kama hakuna ni uoga na kupotosha mwelekeo wa wawakilishi wanaopaswa kuisimamia serikali. Mwenyekiti, katibu wanapaswa kukinusuru chama chao kwa kuendelea kutoa ahadi kwa wananchi badala ya kudisturb mfumo wa check and balance.
  6. A

    CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

    Nape hakuna chama kama COM. You can see by yourself. Members are respected. I think this is what CCM fear about. Tumaini has come with explanation that shows how respective they are to their members and how close to them. It was from this pressure there is a slim chance for CDM to slip. Nape si...
  7. A

    Tazama bei za petrol kwa wenzetu

    Hapa tatizo ni namba. CCM wametumaliza kabisa kwenye kukokotoa. Tujiulize ni lini bei ya bidhaa ilishuka?
  8. A

    Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi

    Msigwa umenifungua masikio na anayekusema vibaya na alaaniwe. Siku zote najiuliza kulikoni NASACO kufa kama mende. Hajabu ni kuwa kampuni imekufa lakini watumishi wake wanameli. Nakumbuka wakati wa Mh. Ben NASACO ilikuwa ni hoja ya moto hajabu kama ilivyokuwa kwa Balali mmoja ya watuhumiwa Bw...
  9. A

    CHADEMA 2015 Tanzania ndicho chama tawala

    Kama kuna watu kijijini kwako bado wanajishebedua kwa CCM basi huko propaganda za kidini zitakuwa zimewakaa. Kijijini kwanguu ni tofauti. CCM ni jina tu yaani nyoka wa shaba. Hivi ni mara ngapi umesikia wananchi wanaomba M4C itembelee maeneo yao? Hiyo inatosha kukuonyesha kuwa CHADEMA imeshika...
  10. A

    ZIMBABWE vs KENYA

    Ulinganifu huu haukuzingatia matukio kabla ya uchaguzi na historia ya utawala. Mugabe amekuwepo madarakani tangu uhuru miaka ya 80 na hakukubali mabadiliko kiuraisi huku kundi la wapigania uhuru wakiwa na sauti kubwa kwenye utawala bila utayari wa mabadiliko. Hii nitofauti na kenya ambao wao...
  11. A

    Makanisa yalindwa na Polisi leo Arusha wakati wa Ibada

    Kwani mlikuwa mnafanya mtihani wa taifa? Huko ni kutafuta poshoo.
  12. A

    Asenga abubakar na viongozi wanaochanganya dini na siasa

    Hakuna mahala ambapo mstari umepita kutenganisha dini na siasa hivyo jamii husika ndiyo inajiwekea tafsiri ya mpaka Huo . Uliwaii kujiuliza ktk nchi zinazoongozwa kwa mfumo wa dini ni kwa namna gani siasa inatenganishwa na dini? Tukiongelea udini haimaanishi kuwa viongozi wa dini wakitamka...
  13. A

    Kuondolewa Kwa Channel ya Emmanuel Tv Katika Kingamuzi cha Startime...

    Bora ifutwe maana wanaoangalia akili zote huko kiasi hawajui kinachoendelea nchini. Maombi yaanzie nyumbani kwako si kwa TB Joshua. Hatuwezi kuendesha nchi kwa miujiza.
  14. A

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Wassira ni mtu wa propaganda. Ni miongoni mwa wanasiasa wa siku nyingi aliyepitia hatua mbalimbali na bado mpaka leo yupo. Sifikirii mtu kama Edo au hata JK anaweza akawa na safari ya Siasa kama Wassira. Wassira utumika sana sehemu zile ngumu ambazo watu wanazomewa na CCM haikubaliki kweli...
  15. A

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Mungu Ibariki Tanzania, utuepushe na nguvu za wenye fedha na uchu wa madaraka.
  16. A

    Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

    Bila kujitambua katu hatutoweza kutoka kwenye umaskini? Just imagine watu wamelitengeneza giza na kuingia mikataba ya hajabu leo hii tunasema wanafaa kuwa viongozi. Mtu aliye na uchu wa madaraka kupindukia anayelalamikiwa na chama chake bado anatajwa kuwa kiongozi wa nchi. Mtu ambaye amekuwa...
  17. A

    Chadema njooni mchukue kadi yenu

    Ni kweli CDM ni bomu linalokaribia kuilipukua CCM.
  18. A

    Miezi 36 iliyobaki CHADEMA yaweza kujipanga vya kutosha kushika utawala wa Tanzania?

    Hesabu hii ni kiashiria tosha kuwa mfumo wa Elimu wa CCM umepitwa na wakati. Back to the topic, mtaji wa siasa kwa CHADEMA yapaswa kuwa ni watu na si fedha. Kujipanga kupata support ya kutosha katika jamii ni jambo la msingi. Watu wakijengwa kuiamini CHADEMA na kuchukia rushwa hapo 2015 CCM...
  19. A

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Wote wanafaa hasa kwa kumridhi JK lakini Dr. Slaa anafaa zaidi kwa sababu ya exposure aliyonayo, si kijana kifikra lakini anatambua mahitaji ya makundi yote ndani ya jamii lakini Dr. Slaa ni mtu anayetambua namna ya kutunza image yake ndani ya jamii kuliko Zitto ambaye amekubali kuacha maswali...
  20. A

    Hivi kwanini cut-off point zimeshuka hapa?

    Jambo la msingi ni kuwa UD hawapendi kuendeleza utamaduni wake wa kutafuta fulsa ya kuwa miongoni mwa vyuo bora duniani. Kinataka kuwa chuo cha kutengeneza takwimu zaidi. Utawala wa sasa ungependa kuona sifa za UD zikishuka ili kukipa fulsa UDOM kuchukua nafasi ya chuo bora Tanzania na hivyo...
Back
Top Bottom