Search results

  1. H

    Kuanzisha ngo: Msaada tutani

    ok mdau hapo juu umenisaidia safi sana
  2. H

    CHADEMA kiboko ya Magamba hata CC wanajua hivyo

    Nape umezidi kudandia hoja za watu ulikua wapi kuvieleza vyama kukutana na Raisi leo chadema waombe kukutana nae wewe upendekeze Rais kukutana na vyama vyote ,je unaelewa ni nini Chadema wamepanga kuongea na Rais? kama ingekua hivyo chadema kama waanzilishi wa ombi wao ndo wangepanga vyama...
  3. H

    Kikwete awaambia UVCCM 'msitutishe'; ahoji walikopata fedha

    Sidhani kama CCM itasalimika kwani wameupotosha umma wananchi hawana imani nayo tena cha kuwashauri hawa CCM nikuakikisha wanatekeleza hazima yayo ndo watarudisha imani kwa wananchi, Kikwete acha ubabaishaji fanya kazi fanya maamuzi huo ndo uongozi bora.
  4. H

    Eng. Stella Manyanya atangaza vita

    wanajamii mimi naona mfumo wa nchi ndo mbovu kwa sababu umejengwa kirushwa, pindi Stella anapewa ukuu wa mkoa yeye kwa akiri finyu hakutambua kuwa keshaongwa tayari so ameanza kuongea pumba kama mafisadi wenzake tunamuomba ajirekebishe tunapigania taifa letu tunataka taidfa safi ukuu wa mkoa si...
  5. H

    News updates: UDSM kwawaka moto muda huu

    mi siwalaumu wanafunzi kugoma coz wamechoka na nchi mbovu ni aibu mwanafunzi wa chuo kikuu kupiga simu na kusema kwamba yupo club coz umeme haupo juoni kwa hiyo hawezi kujisomea hii inamaanisha tunaandaa madansa na siyo wataalamu. tafakari kuhusu hili huyu raisi tuliye nae anazingatia nini...
  6. H

    Accounting Package

    Wana jamii mi ni mjasiliamali pia nimeajiliwa kampuni moja ya ICT inayoitwa SCI iko pegiot house naomba kwa mtu yeyote kama atakua anahitaji sage Accounting package anicheki kwa namba hizi 0752-754434,0658-754434. Asanteni wana jamii. wenu mdau Homeboyz.
  7. H

    Hi All

    Dear members this is just to inform you that am new in JF but familier with JF this is because i was not yet registered with JF but am a good reader of JF please keep on posting the strong and resonable comment so that our site will be for the benefficial of our members as well as our readers...
Back
Top Bottom