Search results

  1. M

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Nape unalewa sana sifa na hao magamba wamekuweka kwenye mtego bila ya wewe kujijua, kumbuka asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania hawaitaki CCM na mimi nikiwa mmoja wapo juu ya kwamba mzee wangu ni kada wa magamba.Jiangali na ujitafakari kabla hujaropoka kwani mwisho wa yote utakuja kusimama...
  2. M

    Mketo wa Chama Cha CUF ni mzima, yuko gerezani akiwa amejeruhiwa vibaya kwa kipigo

    Ni majuzi tu wakati Waziri Mkuu anatoa tamko kwamba yeyote atakayeleta fujo achukue kichapo cha polisi wenzetu CUF walikuwa wanashangilia kwa nguvu zote wakiona wanawakomoa CHADEMA. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kauli ile itawakumba hata hao CCM wenyewe kwasababu sio askari wote wanaoipenda...
  3. M

    Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

    Tabia na hila walizowafanyia CUF na NCCR katu ujinga huo CHADEMA hawawezi kuukubali
  4. M

    Bunge la Bajeti laiua kabisa CCM

    Ni juzi tu katika bajeti ya mambo ya nchi za nje wameumbuliwa na Chadema juu ya kununua jengo la ubalozi ufaransa. Mwaka jana waliomba hela wakalipia bilioni 9.6 wasivyokuwa na aibu mwaka huu wanaomba hela za kununulia jengo ilo ilo tena.
  5. M

    Bunge la Bajeti 2013 Laimaliza CHADEMA

    Unachoongea ni pumba tupu huyo mtanzania wa sasa hv wa kuanzia miaka 35 kuja chini anaeipenda ccm sidhani kama atakuwa yuko sawa kwenye ubongo wake. La sivyo atakuwa anatoka kwenye familia ya magamba
  6. M

    Nilifikiri chadema ni wakorofi bungeni tu,, sikiza hii..

    Vitu vya kitoto hapa sio sehemu yake dogo stori hizo nenda kamuadithie Magamba Nape
  7. M

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Ukweli siku zote unauma Wenje anasema ukweli sasa CUF wanachochukia nini, ninamuunga mkono Wenje kwa kutokuomba radhi
  8. M

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Wenje hana matatizo yoyote wao CUF wanataka waombwe radhi kwa lipi
  9. M

    Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

    Wazee wazima walikuwa wanajidunga R.I.P for Mangwea and M to the P
  10. M

    Ushahidi huu unatosha kumtia hatiani mke!!

    Kwa mwanamke kama huyo shemeji yako hata kama angekuwa ni mzuri kama malaika, kaka yako hatakiwi kukaa nae kwani ana pepo wa ngono. Mwanamke kama huyo hata umuwekee ukuta mrefu kama wa magereza basi ujue pepo la ngono likimpanda tu ujue atatoka. Mueleze kaka yako wanawake wapo wengi sana.
  11. M

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Kwa Waisla leo kudai haki yao mnauona ni uchochezi hivi ni nani asiyejua kwamba Nchi hii hiko chini ya mtandao wa Kanisa Katoliki? Acheni mambo yenu ya kipuuzi mtu mwenye akili zake timamu anatakiwa kutafakari jambo kabla hajaliwakilisha.
  12. M

    Star TV mmethubutu

    Hata mimi nimebahatika kukiangalia hicho kipindi leo asubuhi kupitia STAR TVkwa kweli kilikuwa namvuto mkubwa sana. Lakini kuna jamaa mmoja anajihita mwandishi wa habari alikuwa akichangia pumba tupu. Madai yake ni kwamba gazeti la Tanzania Daima limeandika muuaji wa Mwangosi huyu hapa, yeye...
  13. M

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Hakuna cha wachaga wala nani hapo msitake kupotosha watu na pia tuwache malumbano tusubirini uchunguzi ndio tutajua mbivu na mbichi. Kwasababu kumeshazuka tabia ya mtu anaiba mali ya umma akigundulika maneno yanayotamkwa ni kwamba hoo anaonewa wivu. Tuache siasa chafu hizo
  14. M

    Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

    Tuko pamoja wana wa CDM shime shime twendeni tukawasikilize makomandoo wetu na watetezi wa Taifa hili, na pia watueleze ni lini watakitoa kirusi kilichoingia ndani ya CDM (Shibuda)
  15. M

    Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

    Alisema yeye ni mkatoliki haruhusiwi kuua kwa hiyo anashauri Mawaziri waliotuhumiwa wafungwe maisha wasinyongwe.
  16. M

    Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

    Wewe KIM jaribu kutumia akili unapowakilisha jambo humu JF kwasababu icho kitu unachokizungumzia hapo wala hakina mantiki yeyote ile, ebu tutajie ni nani anayesema kwamba wazo ilo ni la kwao. Kumbuka wabunge waliotia saini ni wabunge waliokuwa na uchungu na Nchi yao. Sio hao wezi wengine...
  17. M

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Tunawatakia kila la kheri wana wa Arusha, Mungu hawaepushe na mabomu ya machozi maana hao magamba wakisikia kuna mkutano wa CDM huwa matumbo moto. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
  18. M

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Hivi kwa akili yako ya haraka unaweza kuniambia watanzania walipiga kura za Urais ni wangapi na nyinyi ccm mlipata ngapi na chadema. Alafu utuambie watanzania waotakiwa kupiga kura ni wangapi na hapo ndipo utakapopata jibu kuwa chadema ni nguvu ya umma
  19. M

    Lissu naye kuenguliwa

    Hakika hata kama wangewafukuza wabunge wote wa chadema basi hayo majimbo yakirudiwa uchaguzi yatarudi kwa chadema tena kwa kura nyingi, kwa hiyo wanajisumbua na shughuli za kufanya pia hawana ila wanataka kuteketeza fedha za walipa kodi kwa ajili ya chaguzi ndogo zisizo na maana.
  20. M

    Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

    Mr Mzumbe acha kuwafanya watanzania kama vinyago bwana kwa uongo wa mchana kweupe, toa picha kama Sikonge alivyokupa ushahidi. Nadhani sasa unaelewa ni mikutano gani inaudhuria na watoto wa chekechea na siku ukiwakuta watu wazima kwenye mikutano ya ccm angalia kwa makini utakuta kilichowaleta ni...
Back
Top Bottom