Search results

  1. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Jibu wewe hilo swali, usiye kilaza
  2. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Bora hata wewe umetema pumba unaeleweka hizo ni kejeli, kuliko wengine hapo juu wametema pumba afu wajiona wako sahihi
  3. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Swala ni sheria, basi bila hivyo mahakama zisingekuwepo
  4. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Sasa mnabisha nini wakati hata hamjui ? Ndio maana hata sikutaka kuingia kiundani nilikwambia toka mwanzo. Anyway mimi sina muda wa kufundisha vilaza nenda google na chatgpt ipo pia
  5. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Nyie futeni ujinga huu 😂😂😂😂😂😂 shida hamjui hiyo RSTP ni nini. Kweli uto wenye akili wawili tu. Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Hivi mnajua hata hiyo annexe 3 inahusu nini ? Ficheni huo ujinga...
  6. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Nyie futeni ujinga huu 😂😂😂😂😂😂 shida hamjui hiyo RSTP ni nini. Kweli uto wenye akili wawili tu. Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Hivi mnajua hata hiyo annexe 3 inahusu nini ? Ficheni huo ujinga...
  7. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Shida unajiona una jua sana nimekuona toka mwanzo na matango yako sikutaka tuingie kiundani. Haya twende sasa, ikiwa TFF wamekiri kuwa Yanga wameshindwa kuthibitisha risiti ya malipo, nini kinafuta ? Turudi sasa kwenye sheria za FIFA na TFF. Haya sasa maana ake mchezaji haruhusiwi kucheza...
  8. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Uko sahihi kabisa
  9. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Wamtaje huyo mchezaji, simple tu yasiwe mambo mengi, alafu mengine yafuaye
  10. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Kwani nani kakwambia unachezwa gizani ? Mpira una sheria zake na zinatakiwa kufuatwa na sio kisa kuchezwa hadharani basi hizo sheria zisifuatwe
  11. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Bumunda katika ubora wako
  12. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Ni quote wapi nimesema kukatwa kwa point ? Mbona unaniwekea maneno ? Haya sasa nitakujibu ila niambie ni mchezaji gani huyo ?
  13. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Huna hoja
  14. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Kabla ya yote kwanini TFF hawamtaji huyo mchezaji ?
  15. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Nilitahadhirisha hili, hata hilo mpira wa hadharani ni kanuni lazima izingatiwe. Fuata kanuni
  16. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    😁😁😁 Basi ngoja nikuletee zingine za FIFA maana umeshindwa kuelewa.
  17. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    Ndio namna ya kujibu hoja ?
  18. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

  19. Sharbel

    Wana Simba njooni tujadili

    1. Namba ya wachezaji wa kimataifa ni mfano mzuri tu, TFF Ina ukomo nadhani ni 12 kama sikosei, mengine katafute wewe
Back
Top Bottom