Search results

  1. chengachenga

    Consumption ya mafuta for 2000 cc cars

    suala la matumizi ya mafuta linasababishwa na mambo yafuatayo. - mzigo ambao gari umebeba. - upepo katika tairi, upepo mdogo tairi inapelekea kufanya resistance na barabara hence gari inakunywa mafuta. - upepo kupitia windows: unapotembea ktk speed fulani madirisha wazi upepo unafanya resistance...
  2. chengachenga

    Kuna tofauti gani kati ya binaadamu na mtu (watu)?

    bin adam - an arabic word means "son of adam" Mtu - is a typical swahili word to mean the same. hii ni nomino. binaadamu/ ubinaadamu, mtu/ utu pia hutumika kama sifa nzuri. hana utu/ubinaadamu. kumaanisha sifa halisi ya kiumbe mtu/ mwanaadamu ambayo ni ukarimu, upole, huruma na nyingi nyenginezo...
  3. chengachenga

    Umesafiri lini mara ya mwisho na wapi?

    it was just recently about a three weeks ago. tunatoka dar to moro. duh kukaribia moro katika kale kapori ilikuwa kama saa 12 na nusu hivi jioni. mvua kali sana. ukungu umetanda hadi taa za full hazifanyi kazi kabisa. hapo ndipo tukaanza kutembea kwa 5kmph. kwa kubahatishia njia. no fog light...
  4. chengachenga

    Thanks michuzi blogspot

    mkuu bila udini unaona hoja yako haijakamilika eti enh?
  5. chengachenga

    tiGO mtavunja ndoa za watu!

    hivi tigo ndo yale mambo yetu ya pwani au. ilishakatazwa zamani kutumia hiyo rudi huku.
  6. chengachenga

    Mhindi ajigamba kutatua mfumko wa bei Tanzania ataweza?

    unapozungumzia uchumi huwezi kuwasahau wafanya biashara. ni muhimili kwa uchumi wa taifa lolote. ni imani yangu anaweza hata kama siyo peke yake ila anaweza kuwa na mchango mzuri tu. hakuna sababu ya kumkatisha tamaa hasa ukizingatia we loose nothing kwa chochote atakachokifanya bali tutafaidika...
  7. chengachenga

    Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

    nimeelewa tofauti! duh haya tu.
  8. chengachenga

    Akamatwa kwa kumwingilia mbuzi

    huyo mbuzi angelipona then yale mavitu yameshaingia. kizazi sijui ingekuaje "mtumbuzi" duh! hatwaaaaaaaari. Mungu atuepushe na janga hilo. amin
  9. chengachenga

    DCI Manumba: Kuna tishio la al-shabaab kushambulia Tanzania...

    Mungu atulinde na balaa hii. ni yeye pekee asiyewezekana na asiyeshindwa. sisi ni kujishaua. kwa uwezo wake wasifike humu mwetu na siyo kusema hawatuwezi. amin
  10. chengachenga

    habari wana great thinkers?

    nawashkuru sana jamani kwa ukarimu wenu. ila mbona kimya kimya hata soda hakuna? nimekaribia sana
  11. chengachenga

    habari wana great thinkers?

    mi ndo naingia hivi hata hodi sipigi! mpoo
Back
Top Bottom