Namkubali na kumtambua sana Huyo gwiji.Mimi kama muandishi chipukizi nimezisoma kazi zake karibu zote,kuanzia siku njema,kidagaa kimemuozea,Damu nyeusi,Ada na kaida kama sijakosea na nyingine nyingi.Hakika,nimezipokea habari za mauko yake kwa Kwa mshtuko mkubwa.Mungu ailaze roho yake pema peponi.
Habari za asubuhi wana jamii.Nimekuja na muendelezo wa lile bandiko langu la jana.
Naam,ujio wa wayahudi palestine ulipingwa vikali na viongozi wa kiarabu.Ikafikia kipindi,ulimwengu wote wa waarabu ukawa uko against jews.Ndio hapo kukazuka vurugu,na vitendo vya kujilipua vikazuka na...
Hali ya Palestine ilivyo sasa,ni matokeo ya mwaka 1948,enzi za utawala wa Uingereza au British empire,ambapo Palestine iligawanya under terms of Balfour Declaration.Kulingana na ugavi huu,ni robo tu ya palestine ndio ilitengwa kwa makazi ya wayahudi waliokuwa diaspora,na sehemu iliyobaki...
Muendelezo...
Ali Solih alijisahau hata asijue kama alikuwa kazungukwa na maadui wengi waliokuwa wakipanga ni jinsi gani wataupindua utawala wake.Alikuwepo Bob Debard,mercenary hatari ambaye viongozi na wanasiasa kipindi hicho walikuwa wakimtumia kuua wanasiasa wasumbufu au kupindua...
"I am your god and teacher.I am the devine way,the torch that lights up the dark.There is no god but Ali solih."
Haya ni maneno yake marehemu Ali solih aliyekuwa raisi wa Visiwa vya comoro.Kipindi hicho ndio, mwanzo bara la Africa lilikuwa katika harakati za kutaka kujinasua kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.