Search results

  1. DAVID PALMER

    Perezida Kagame yatangije icyumweru cyo kwibuka30

    UMUKUNZI TUGUMANE IBIHE MBWIRA NU MBONYI
  2. DAVID PALMER

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Wewe dada unaonekana uko smart kichwani.. afya ya akili imo vizuri. Bahati mbaya wadada walio smart hivi hawaolewagi, wachache walioolewa ndoa husumbua, au pia wanapata bahati mbaya wanapata waume pasua kichwa. Nakusikitikia sana
  3. DAVID PALMER

    Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

    Umekosea kidogo. Sio iringa. Ni njombe
  4. DAVID PALMER

    Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

    1. Kevi (sio jina halisi) alijichanganya kunioa. Me nilijua tuu tangu ananioa kuwa amejichanganya. Kudumu na mimi kwenye ndoa inabidi awe na moyo mgumu. Sababu naweza tembea na ukoo mzima. Ndugu yake yeyote asioneshe interest, nampa. Hii sentesi amenambie last two weeks. Na ndo imesababisha...
  5. DAVID PALMER

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Me nature ya kazi yangu sometimes kama kuna kimeo tunakua job usiku kucha then narud asubuh. Sasa sababu sometimes tunakua job night basi nkawa natumia hiyo km advantage. Sasa siku moja tuna kimeo fulan, kwa hesabu zangu nkajua nkajua hii kazi kufika saa sita usku itakua imeisha, ila sina...
  6. DAVID PALMER

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Nakuunga mkono sista. Kuna muda nanyimwa nnasusa naenda kulala sebulen. Nikijua itamtouch.. nkiamka nkirud chumban mwenzangu kalala anakoroma hana habari
  7. DAVID PALMER

    Huyu mwanamke amenishangaza

    Sipo interested.. huwa sichepuki kwa demu anaefahamiana na wife. Never
  8. DAVID PALMER

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    1. Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili. Siku akiomba yeye sijawah kataa. Na anapoomba yy ni sababu anajistukia kuwa hajanipa siku nyingi. Na nikiomba mara kadhaa sijapewa huwa nasusa siombi...
  9. DAVID PALMER

    Huyu mwanamke amenishangaza

    Kuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara...
  10. DAVID PALMER

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    99% ya ulivosema ndo yanatokea kwa mwanangu 4yrs. Ila ana moja la ziada. Usiku akilala anasaga saana meno.
  11. DAVID PALMER

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Siku zote hizi ulikua wapi?? Umeshindwa hata ku apologize?? Atleast hata ungeelezea juu what happened siku zote hizi umepotea.. au kisa hatukulipi???
  12. DAVID PALMER

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Me nataka kujua. Ulipokua mbeya ulikua unarudi bk likizo??? Jane mlikua mnaonana. Na ulipokua shule ulikua unawasiliana nae?? Na kwa sasa mpo nae vipi? Ila elimu ya bongo bwana. Wakat jamaa anakuja shule mbeya.. tulikua tunapisha me nachukua tren naenda shule ifakara moro ndani ndani hukoooo...
  13. DAVID PALMER

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Ukianza kujali kila comment ya mtu, kila mawazo yanayotolewa, na kila ushauri, hutoboi.. na uta catch feelings. Sababu kila mtu anaandika anavoona yeye. So as long as ww uliamua kushea story na sisi, basi leta kama ulivopanga. Atakaeona mbaya, hajalazimishwa, atakaeona ndefu mwache asamaraizi,..
  14. DAVID PALMER

    Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

    ME PIA NATOKEA UBARUKU SO NIMELIMA SANA BONDE LA USANGU. NIMESHANGAA SAANA KUONA EKA 20 KAPATA GUNIA 150. INA MAANA KILA EKA KAPATA GUNIA 7.5 HALAFU ANASEMA AMEPATA FAIDA???? I CANT BUY THE STORY.
  15. DAVID PALMER

    Story ya kusisimua kuhusu Jaymoe na Langa

    Kisichoniua kinanikomaza kiaskari Unaponichukuia unadhihirisha me mkali
  16. DAVID PALMER

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Nje ya mada. Naomba kuuliza. Hivi wale wanaoimba live band, wanavaaga vitu fulan kama earphones masikioni... nini vitu gani vile?? Au ni ear phones??
  17. DAVID PALMER

    Taja madeni yako unayodaiwa

    Kwan kazini kwenu hakuna saccos?? Mkopo mkubwa nmekopa bank.. hiyo mingine ni saccoss ya kazini... ulizia tanesco saccoss inavofanya kazi.. au cocacola saccoss..
  18. DAVID PALMER

    Taja madeni yako unayodaiwa

    Uko sahihi kabisa... salary advance haihesabiwi
  19. DAVID PALMER

    Taja madeni yako unayodaiwa

    😂😂😂 kodi ya meza hiyo
Back
Top Bottom