Search results

  1. A-town

    Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Aseme tu kuwa ameanza kujipambanua na safari yake ya kuhamia huko
  2. A-town

    Mdororo wa Uchumi: Landmark Hotels zabadilishwa kuwa hostel

    Toka LANDMARK HOTEL mpaka UBUNGO HOSTEL kweli namba inasomwa si mchezo. Nasikia wateja hamna mambo yamebana sio mchezo.
  3. A-town

    Hivi UDART ndio nini? Sioni unafuu kabisa wa kupunguza foleni

    Hebu fikiria wanafunzi walivyokuwa wakiteseka kwa usafiri lakini sasa watakuwa wanasafiri kwa uhakika bila bugudha ya wakusoma subiri! hili sio basi la shule, n.k Nadhani kwa usafiri huu ukienea jiji zima kama inavyosemwa hata morali ya wanafunzi kusoma itaongezeka
  4. A-town

    Hivi UDART ndio nini? Sioni unafuu kabisa wa kupunguza foleni

    Binafsi nafikiri lengo la mradi huu si kupunguza foleni bali kuondoa kero ya usafiri kwa wananchi,kupitia mradi huu mtu anaweza kufika Kariakoo/Posta kwa muda mfupi zaidi tofauti na ilivyokuwa mwanzo kwa sababu yanatumia barabara maalumu isiyoingiliwa na vyombo vingine vya usafiri. Kwa mantiki...
  5. A-town

    Nipokeeni mgeni wenu

    Karibu sana taratibu tu utazijua njia zote za humu ndani
  6. A-town

    Hii mihemko ya CHADEMA ndani ya Bunge ni uthibitisho kuwa upinzani kwa sasa umebaki Bungeni tu

    H Hayo unayaona wewe tu? Kama upinzani umebaki bungeni tu kwanini wanawazuia wasisome hotuba yao? Hivi wabunge 250 wa ccm wanaogopaje kujibu hoja za wapinzani zilizoandikwa kwenye kurasa 34 tu? Ujinga umeanza kuwaingia tena wananchi kama wewe na hapo ndipo taifa linapozidi kutumbukia korongoni.
  7. A-town

    Haya ndiyo maandishi ya kwenye Sanamu la Askari

    Ifike mahali tuhoji namna wanazotumia kuingia bungeni hii habari ya kupoozana machungu ya kufiwa kwa kupeana ubunge haya ndio madhara yake.
  8. A-town

    Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

    Kwa CV hii kazi ipo sana yani kumbe uzuri wa sura lakini kichwani hakuna kitu
  9. A-town

    Kafulila abwagwa, Mahakama Kuu yampa ushindi Hasna Mwilima ubunge Kigoma Kusini

    KESI YA UCHAGUZI: Mbunge Kigoma Kusini Hasna Mwilima (CCM) ashinda kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na David Kafulila (NCCR-Mageuzi) Korti Kuu Kanda ya Tabora.
  10. A-town

    PICHA: Ajali, Mtembea kwa miguu agongwa na gari la UDART Magomeni

    Tutazoea tu ila itatugharimu sana kwa kutosikia kwetu, kama leo asubuhi nimeona bajaji na bodaboda kibao zinapita kwenye barabara za mwendo kasi
  11. A-town

    CEO wa DAWASCO, Kimara nzima haina maji watu wanauziwa dumu 1000

    Maji na kitengo cha dharura Tanesco ni majanga kwa watu wa kimara
  12. A-town

    Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Hii ndiyo Tanzania bwana jipe nafasi tu utashangaa sana
  13. A-town

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Mama yake alikuwa mbunge na waziri wa muda je aliupataje uwaziri?
  14. A-town

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Kijana mdogo majukumu makubwa ndio madhara yake haya sasa anatukana na anachokoza umma wa watanzania ulioamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Ngoja sasa watu wafukue makaburi ataiona tamu ya kauli yake.
  15. A-town

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Wabunge wanawake Ukawa watoka nje Bungeni wakipinga kauli iliyotolewa na Mbunge Goodluck Mlinga (CCM) kuwa Nafasi za Ubunge wa Viti maalum kwa vyama vya Ukawa hutolewa kwa rushwa ya ngono. Leo wametaka mwongozo wa Naibu Spika amewakatalia na wameamua kutoka nje. MY TAKE; Badala ya kutoka nje...
  16. A-town

    DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

    Ghafla hiyo na hizo picha itakuwa kamera za hospitalini zimemchukua
  17. A-town

    Ripoti ya CAG inaonesha kuwa, Halmashauri 3 za CHADEMA zimepata Hati chafu

    Hiyo ripoti ni kuanzia lini mpaka lini? Isiwe watu wanabebeshwa mzigo usiokuwa wao
  18. A-town

    Hii CV ya Mama Lwakatare ina maajabu yake, tusaidiane kuichambua tafadhari

    Hivi kile kitabu cha MAFISADI WA ELIMU kinapatikana wapi?
  19. A-town

    Shule za sekondari FEZA zatoza ada ya kawaida kuunga mkono juhudi za serikali

    Wameshusha ada sababu wazazi wamezidi kuondoa watoto kwa kushindwa kumudu ada hiyo
  20. A-town

    Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

    Hivi siku hizi mume/mke bora tunajitafutia wenyewe hatoki tena kwa bwana?
Back
Top Bottom