Search results

  1. Jskinondo

    Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

    Habari za leo, natumaini nyote mpo vizuri. Kama kichwa kinavyo someka, lengo kuu la kutaka tukutane hapa ni kuwaambia wadau wanaoitaji kununua iliki kuwa mzigo upo wa kutosha. Hiliki inapatikana kwa jumla na rejareja, bei ya reja reja ni 25000 kwa kilo na bei ya jumla ni 22500 kwa kilo. Kwa...
  2. Jskinondo

    Fahamu jinsi ya kuondoa 'bablishi' kwenye nguo (how to remove bubble gum on clothes)

    Habari za leo, Ni matumaini yangu kuwa haujambo na una afya njema. Kama huna tatizo lolote upo physically and mentally fit huna budi kumshukuru Mungu. Kama nilivo tangulia kusema kwenye kichwa. Lengo la kuandika huu uzi sio kwamba JF members wote hatufaham jinsi ya kutoa bablishi kwenye nguo...
  3. Jskinondo

    Naomba ufafanuzi juu ya sanitizer na hand wash

    Kama kichwa kinavyo ongea, kutokana na janga la Corona virus pandemic, watu wana shauriwa kunawamikono kwa maji tiririka na sabuni. Lakini siku hizi wengine wanaona kunawa maji kila wakati ni usumbufu kwahiyo hutumia sanitizer kama mbadala wa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni. Njia...
  4. Jskinondo

    Jinsi ya kuondoa doa au madoa kwenye nguo

    Habari za leo wana jamvi, Kama kawaida natoa elimu ambayo ina manufaa kwa watu wote walio enda shule na ambao hawa kwenda shule kabisa. Ninapotoa elimu hii sio kwamba mimi najua sana kuliko wengine ila naamini wapo watu wanajua vitu vingi kunizidi mimi lakini wengi wao ni wabinafsi...
  5. Jskinondo

    Vyakula vinavyo imarisha kinga ya mwili

    Hello JF Leo nimeona ni busara tukapeana mawazo kwenye eneo la vyakula sababu ni msingi wa maisha na nina imani kwa wale ambao hawakwenda shule au walienda lakini hawakubahatika kusoma sayansi wana kitu cha kujifunza kupitia sisi. Kwahiyo bila kupoteza muda, mlo kamili hutengenezwa na vyakula...
Back
Top Bottom