Search results

  1. marktindo04

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mamb niaje wana ,hivi tuna place vp bet kutumia hizi codes ?? naomba maelekezo wakuu
  2. marktindo04

    Juzi kati nimepanda Coaster za magazeti usiku Dar-Arusha, tulipepea njiani

    Mamb vipi wana JF, Aisee siku ya Jtatu nilitakiwa niwai kuja Arusha kwa ajili ya majukumu muhimu sana, kwa bahati mbaya nilikosa train ya saa nane ya kuja Arusha so ikanibidi nitafte namna ya kuondoka jioni hyo hyo. So kuna jamaa ang alikua anafaham hzo coaster za kuja arusha zinachukua abiria...
  3. marktindo04

    Agiza mizigo nje ya nchi upate faida kubwa

    Mambo vp wadau wa JF ,ivi unajua kwa nn watu wengine wana mafanikio makubwa kuliko wengine ,ni kwa sababu ya kuwa na mawazo mbadala jinsi ya kuendesha biashara ,maana hamna mtu anapenda kutafuta pesa ya kula miaka yake yote hapa duniani Uzi wangu unahusu jinsi ya kutengeneza faida ya ziada kwa...
  4. marktindo04

    Natafuta frame Sinza au Makumbusho

    nimepandisha Dau 100,000-150,000 frame iwe sinza au makumbusho na sio lazima iwe main road lakini isiwe ndanii sana
  5. marktindo04

    Natafuta frame Sinza au Makumbusho

    Mamb vp wadau wa JF, ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi frame iwe na kigai na gypsum yan inshort iwe frame imetulia ,isiwe kubwa sanaaa ,maana bado napambania kodi kwa mwezi iwe...
  6. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    karibu mkuu acha ambao wanataka vya bure wawndelee kutoa comments za ajabu ajabu hapa huku maisha yao yanabaki pale pale wanalalamika hawana ajira [emoji16][emoji1787]
  7. marktindo04

    20,000 kwa atakayewezesha hii

    Natafuta Aluminium door kama huo ,ulotumika ,Bei ikiwa nzuri nalipia mda wowote chap nipigie 0746751987 ukinipa connection nikanunua naktumia 20,000 yako mapema tu
  8. marktindo04

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Natafuta Aluminium door kama huo ,ulotumika ,Bei ikiwa nzuri nalipia mda wowote chap nipigie 0746751987
  9. marktindo04

    Mawazo ya biashara

    unaweka dollar kumi kwa nn unakosa wateja weng labda unakosea kuweka target infact mm tangazo la dolar 3 kwa siku naweza kupata wateja hadi 8
  10. marktindo04

    Mawazo ya biashara

    Bila kupoteza mda hope kama unasoma uzi huu uko salama kabisa ,ebana kama kijana ni muhimu kutoa mawazo ya biashara kwa vijana wenzangu nao amini bado tunatafuta Sasa kuna watu ambao wanasema hawana ajira ,maisha ni magumu lakini hajawah hata jaribu ku risk pesa yake katika ku invest pesa yake...
  11. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    Nawafahamu vizur ila ww hujafikiria kabisa wambie wana JF na gharama zao ,mzigo gan utaagiza kwa 100,000 pale [emoji23][emoji23][emoji23] kijana wa hovyo sana ww
  12. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    ndio maana nafundisha mkuu ili uwatambue hao wezi ukiwa Alibaba
  13. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    ku predict story ya maisha ya watu ni swala lingine we elewa nimeanza mda kuifatilia mitandao ya kuagiza bidhaa nje ya nchi .
  14. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    muulize kama hao Agiza gharama zao ni bure ,ziko juu sana kiasi kwamba bora nikufundishe uagize mwenyew
  15. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    Yan shida ya watanzania tunapenda vitu vya bure sana ,yan for 20,000 unabadilisha maisha yako kama una mtaji wako kuanzia 100,000 sasa wanaona hata mm kutenga mda kufundisha nifanye bure [emoji22]
  16. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    Shukran kwa kunitia nguvu [emoji120]
  17. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    ndio mkuu uaminifu muhimu
  18. marktindo04

    Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

    kaka fanya kazi unayopenda utafanikiwa endelea kulima
Back
Top Bottom