Search results

  1. Vishu Mtata

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Sasa hapo kuna ambae tunafanana nae kwa chochote?? Na nimesema hapa Africa maana nje ya Africa ni haiwezekani. Hiyo vita hatuiwezi na haitakaa itokee.
  2. Vishu Mtata

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Inaliwa kirahisi mno, basi tu ni vile huwa hamna hela za ziada.
  3. Vishu Mtata

    Hili linatatulikaje; Baada ya kifo cha mmewe mama kama mrithi anauza ovyo mali pasipo kushirikisha watoto

    Shirikisha wanaukoo, hamna mtoto atamuelewesha huyo akaelewa.
  4. Vishu Mtata

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Yule muigizaji wa Magu, jamaa alikua anacheza movie nyingi kweli.
  5. Vishu Mtata

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    We unaona mtu ni mfuasi wa Mange halafu unashangaa kusema "pyee"
  6. Vishu Mtata

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Hatuna adui wa namna hiyo sisi. Nani hapa Africa tuingie nae uhasama kiasi kwamba atutumie hizo drones?? Hao magiants sisi ni vibaraka wao, wakija hapa tunawapigia magoti na kuwaomba misaada. Hawa majirani nao hali jojo kama sisi tu.
  7. Vishu Mtata

    Waigizaji wa Tanzania wana la kujifunza kwenye tamthilia ya Mpali

    Kwani imeisha?? Nayo naskia ni kama isidingo haiishi. Kinachonikera kwenye tamthilia ni hicho tu, hizi chuma haziishagi. Nakumbuka ni 2021 sijui ile, nilikuta home wanakimbizana kuangalia huba, ajabu mpaka 2023 naskia bado ipo. Nahamaki zaidi ati hadi leo 2024 bado chuma ipo tu, huwa...
  8. Vishu Mtata

    Mnaobeza na kukosoa milo yetu, basi tuambieni tule vyakula gani?

    Mi nachoamini ni kula kulingana na shughuli unazofanya na kuepuka kula hovyo, kunywa hovyo na ulevi kupindukia. Hizi mambo za kula muhogo mmoja, sijui ugali au wali kwa ukubwa wa ngumi yako na mamboga tele, kuna wengine utawaua njaa. Nadhani huo ushauri mwingi wa vyakula ni kwa wale...
  9. Vishu Mtata

    Mnaobeza na kukosoa milo yetu, basi tuambieni tule vyakula gani?

    Hii kitu usijidanganye ngoma ipo sana.
  10. Vishu Mtata

    Wanachuo wote waliowahi kusoma na wanaosoma UDSM tuandamane kwa kudhalilishwa kwa Dr. Shukuru Kawambwa

    Dogo alimdhalilisha sana yule mzee aisee. Kama ndo angekua mzee wangu, yule jamaa ningekula nae sahani moja, nisingemuacha kindezi dadeki.
  11. Vishu Mtata

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Umeniambia nikupe namba, nimekupa. Unaniambia tena nisipende slope mkuu, mbna unanidhalilisha hadharani ilhali wewe ndo umetoa ahadi. Kama huna, unasema tu sina mkuu. Bia mbili na hiki kibaridi ni burudani kabisa.
  12. Vishu Mtata

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    Wanawake hamuwazagi bando nyie, na nadhani ni wote sijui.
  13. Vishu Mtata

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    Sure jf haili bando, hadi ubaki na mb 0 ndo haifunguki, ila hata 5mb unaperuzi bila tabu. Labda ni app inakula muda.
  14. Vishu Mtata

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Sawa mkuu. Chapa hiyo ya bia mbili kwenye lipa namba hii 9650011.
  15. Vishu Mtata

    Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    Hao ukiwapa stage wanapuyanga, comedy sio jambo rahisi ujue. Hao kama huyo jamaa wapo wengi tu kitaa, kuna mtu story ya yeye kutoka geto kwake kufata vocha akapisha tu na mdada mzuri, yeye anaiboresha anatia chumvi kibao mpaka story iishe hamna mbavu. Tunao, tunaishi nao. Ujue content huisha...
  16. Vishu Mtata

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Karekebisha baada ya kumsanua aliandika jana tarehe 26/04
Back
Top Bottom