Search results

  1. Is-haqqa

    Ukosefu wa nishati ya umeme

    Yani uku kwetu kigamboni, imekuwa kawaida tu. Kila siku haijatokea tukapumzika. Ikifika saa moja usiku umeme unakata paap, tukutane saa sita usiku. Hadi inachosha.
  2. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Ndo inahitaji machaguzi hakuna ubaguzi kwenye kuchagua mke. Unatafuta unacho kitaka tu
  3. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Quran imeonesha ilo mda mrefu sana
  4. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Haha, apo imemaanisha ikiwa mtu anamuliki mtumwa (mikono yenu imewamiliki) kwa wakati huo. Unaweza kumuoa kuwa mkeo wa ndo. Kipindi icho watu walikuwa na watumwa, na lengo ilikuwa ukimuoa mtumwa tayari umesha mkomboa tayari anakuwa mke (muungwana) na ikitokea ameachika harudi kuwa mtumwa...
  5. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Asante kumbe ata biblia imeruhusu. Quran: ( Al aalya aya 18) Hakika haya yamo katika vitabu vya mwanzo. Nipo kwenye nyia sahihi. Mke wangu wa pili usitishike, Quran na Biblia imeruhusu hakuna zinaa hapo
  6. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Andika neno hapo, tupate ujuzi mkuu. Acha kuficha elimi muhimu
  7. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Kitabu hutakiwi kutumia common sense. Unatakiwa kufundishwa ndio mana kitabu kinakuja na mitume, wanakuja wasomi waliopokea mafundisho ndio elimu inakufika. Kusoma vitabu vya dini hakuhitaji common sense. Sio kama "Rich dad poor dad"
  8. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Una kitabu mkuu common sense ya nini. Kitabu ni muongozo wa maisha. Ingekuwa ni common sense kila mmoja angefanya atakavyo bila ya miongozo.
  9. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Mi nimeshasoma qurani tayari. Imetosha Sasa mimi mwislamu nisome biblia kwa jili gani. Labda uje unisomeshe mkuu.
  10. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Ndio, ukiwa na wanne jamaa yangu. Tamaa itaisha vizuri kabisa.
  11. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Biblia imesemaje Mi sijasoma biblia coz mi ni muislamu
  12. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Mimi ni muislamu na kitabu changu kimenipa ruhusa. Ili nisiwe mzinifu katika Quran ( Sura: Nisaa (Wanawake) : Aya ya 3. "Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi...
  13. Is-haqqa

    Nahitaji mke wa pili muislam

    Habari, Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu. Sifa yangu. 1. Nina mke mmoja 2. Nina mtoto mmoja 3. Nimeajiriwa 4. Muislamu Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi 1. Awe mwanamke au mjane 2. Awe muislamu 3. Umri 25 - 33 4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam) 5. Asiwe na...
  14. Is-haqqa

    Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

    Haha, hataki mume uyo
  15. Is-haqqa

    Natafuta Mchumba

    Wanaume ao sku hz hakun
  16. Is-haqqa

    Pozi za kishamba

    Kupiga picha ndani la lifti vp iyo
  17. Is-haqqa

    Mume muislam anahitajika

    Nimeipenda hii
  18. Is-haqqa

    Natafute mke Muislamu

    Mwanamke hutafutwa kwa sifa nne Kwa muongozo wa dini ya Kiislamu 1. Uzuri wake 2. Mali yake 3. Heshima ya familia au ukoo wake 4. Dini yake Na ukitaka aaliyebora zaidi, chagua mwenye dini yake.
  19. Is-haqqa

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Umri: 30 Ajira: Nimeajiriwa Dini: Muslim Ndoa: Bado sijaoa Jinsia: Mwanaume Makaazi: DSM Elimu: Degree ya uhandisi/Engineer Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Is-haqqa

    Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

    Habari wanajamvi naamini humu wapo wajasiriamali waliojikita katika biashara ya furniture ama useremala. Nahitaji: Kitanda, mbao ya mkarati, kiwe futi 6 kwa 6 Kabati la milango mitatu, mbao mkarati Dressing table mbao mkarati Kwa yeyote ambae anabiashara hii nifate inbox au post namba yako ya...
Back
Top Bottom