Search results

  1. UncleTnd

    Hodii. Mjomba wa Wajomba amefika na huku tena

    Ni mjomba wa wajomba, Mwenye kulonga kwa wahenga na wakunga, mjini na vijijini, anagonga hodi hapa kujenga na kujengwa.
  2. UncleTnd

    Chips hazina ukoko

    UKILA UNAMALIZA KABISA. NI ISHARA YA USAFI NA UCHOYO PIA.
  3. UncleTnd

    Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

    MUNGU AMEKUSIKIA. ATAJIBU KWA VITENDO.
  4. UncleTnd

    Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

    Kila soko la hisa duniani lina Madalali (Brockers) ambao haswaa ndiyo tunawaita Market Makers. Hao ndiyo wanakuwezesha wewe kununua katika masoko mbalimbali duniani kama vile NYSE - NEW YORK STOCK EXCHANGE :: LSE - LONDON STOCK EXCHANGE :: TSE - TOKYO STOCK EXCHANGE, N.K. TDAmeriTrade na IG.com...
  5. UncleTnd

    Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

    Mi naweza kusema tu ya kuwa, ukiona kampuni ya dalali ( broker ) masoko ya bidhaa za kifedha anahitaji mashariti mengi kama TDAmritrade, ujue huyo ni Regitimate. Japo hatupimi regitimacy kwa njia hiyo pekee, kuna taasisi ambazo ndiyo regulator wa hao brockers. Hivyo cheki kama wameptitshwa...
  6. UncleTnd

    Nataka kuanza kucheza FOREX baada ya kukosa mtaji vipi hii ni kamali?

    Ni kweli Forex Market kuna Hisa za makampuni makubwa ila huwa hatuiiti forex market tunaiita Stock market. Yapo masoko mengi ya kifedha ila kubwa kuliko yote ni Forex Market. Mengine ni Stock Market, Bonds Market, Futures Market, Index Market. Haya yote hufanyika ndani ya soko moja kwa jina la...
Back
Top Bottom