Search results

  1. S

    Mashabiki wa Yanga FC wapata ajali Msata wakielekea Arusha kwenye mechi dhidi ya Coastal Union

    Mashabiki wa timu ya Yanga wamepata ajali mbaya ya kugongwa na lori Fuso usiku huu. Ajali imetokea maeneo ya Msata. Walikuwa wakitokea Tabata, kuna waliopoteza maisha na majeruhi. Dereva wa fuso amekimbia na kuelekeza lori lake vichakani Poleni sana waathirika --- Basi la Mashabiki wa Yanga...
  2. S

    Vita vya Tanga - Vita vya Nyuki

    ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ͲᎪΝᏀᎪ - ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ΝᎽႮᏦᏆ 3–5 ⁿᵒᵛᵉᵐᵇᵉʳ 1914 BATTLE OF TANGA Au Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapiganoya Nyuki yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi la Uingereza lenye makao yake nchini India chini ya Meja Jenerali A. E. Aitken ili kukamata Afrika...
  3. S

    TANESCO Butiama mtatutesa mpaka lini?

    Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka. Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea...
Back
Top Bottom