wakuu naomba kufahamishwa.
je,ninaruhusiwa kuifungasha upya kwenye mifuko yenye nembo yangu bidhaa iliyotengenezwa na kufungashwa na mtu mwingine?
mfano nanunua bidhaa iliyosindikwa na kuwa packed na kampuni fulani iliyothibitishwa ubora na shirika la viwango la kimataifa ISO, kisha mimi...
wakuu tukiwa tunaelekea kwenye katiba mpya napendekeza lifuatalo;
tuweke maneno tunayoamini kuwa ni ya msingi kwenye katiba mpya kwa ajili ya tafakari zaidi
bones are made before the flesh and the flesh before the skin.
kwa kuwa JF have great thinkers nategemea bones are going to be...
mara nyingi kwenye kusoma kwangu sayansi nimekutana na maneno,'assume other terms are constant'. kuna wakati i also assumed so as to proceed with my calculations, "fake calculations". siku moja nilipokuwa kwenye lecture ya fluid mechanics, lecturer aliandika formula hii; PV=nRT kisha ikafuatiwa...
Jana katika kikao cha bunge cha jioni spika alisema,kwa uendeshaji bora wa bunge suala lililozua mjadala juu ya nani ashirikiane na kamati maalum ya kukusanya maoni juu ya katiba mpya katika ngazi ya wilaya analipeleka kwenye kamati ndogo ya sheria ya bunge na kwamba katika hilo hakuna kupiga...
Historia na maandiko yanatuonesha kuwa; madhara ya kizazi cha kwanza yanagusa hadi kizazi cha nne! na vingine mbele endapo hakuta kuwa na mwanzo mpya.
Tz sasa tupo kwenye kizazi cha nne, tusilalamike what we are facing now,system imeishakaba, nothing will change, inflation inatisha.
Tuvumilie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.