Search results

  1. Alexiza

    Girls, sometimes muwe munawaza vya msingi, siyo kisa umekutana na baharia amefanya maunyama kila mtu ajue sasa

    Jana natoka zangu job jioni niko kwa hiace nimekaa na dada mmoja seat ya pembeni. Kasinzia hadi ananiegemea; nikaona isiwe kesi, kidume nikakaza tu kibingwa. Sasa tumefika kituo fulani konda anauliza kuna abiria ana-drop, yule dada si kashtuka usingizini karopoka, "hee! jamani vaa condom...
  2. Alexiza

    Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

    usifikr kula om ndo kukosa pesa uijui aina ya familia nnayotea dats y u said dat hahah[emoji28][emoji28] ila wory out ushauri wako wameupokea walio ktk iyo stuation ya kukosa ata jero ya kula
  3. Alexiza

    Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

    Basi bana leo niko zangu home nimelala mida ya mchana mchana hivi baada ya njaa kunitandika kinoma nikaona nijiegeshe kwa bed nivute vute muda wa menu liive kwa kwasababu beki 3 alikuwa jikoni anafanya mambo. Nimelala kuanzia mishale ya saa 7 mchana mpaka nakuja kushituka mishale ya saa 9 kama...
  4. Alexiza

    Stori ya kusisimua - Taxi

    Noma
  5. Alexiza

    Tukaribishane wadau

    Habari wakuu Tuelekazane machimbo ya humu wengine ndio majogoo wageni hivi
  6. Alexiza

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah noma asee
  7. Alexiza

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    uko sawa kabisa[emoji16][emoji16] mwenyew nshaklaga kiutani na tukakubaliana na mtoto tufurahishane tu kwa hyo cku kwasaab kila mtu alikua na mtu ake ila baada ya kumla tu mtoto kesho yake karud om anataka kuweka kambi kwamba mchiz wake anamrusha kwa bed nkagoma [emoji38][emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom