Search results

  1. T

    Tetesi: Sekretariet ya Kamati Kuu CHADEMA kufumuliwa

    Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza...
  2. T

    Uchaguzi wa Katibu Mkuu BAVICHA 2019: Upepo wamwendea vizuri CPA Kitalika Titho

    Wanazengo salaam. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kinachoendele katika uchaguzi ndani ya BAVICHA hasa kwa wagombe sita wanaofahamika yaani huyu CPA KITALIKA, Hemed ALLY, Simbeye Edward, Nusrate Hanje, Gwamaka Mbughi na Chacha Machera. CPA Kitalika, Gwamaka na Chacha hawakabiliwi na...
Back
Top Bottom