Search results

  1. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    hayo ya kuwa mke wa mbowe ni maneno ya kujaribu kuchafua sifa nzuri alizonazo na ni maneno ya mkosaji daima . Arusha lazima watamheshimu sana go Mukya go usikatishwe tamaa na hawa wenye wivu wa kike
  2. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    wataje kwa majina kama wapo wote wanachumia tumbo
  3. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    historia ya nini tuangalie muda huu hayo ya historia tutayatumia kama rejeo tu , au kama una historia ya yeyote aliyewahi kufanya haya anayoyafanya mbunge huyu yabandike hapa
  4. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    hao wengine wanatekelezea wapi majukumu yao mbona hatuwaoni Mukya juzi kaongoza maandamano Arusha hao wengine wako wapi?
  5. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    kigezo nilichotumia ni kufanya kazi ya ujenzi wa chama , wengine wanaangalia maslahi tu hawafikirii kujenga msingi imara wa siasa za cdm
  6. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    siasa ni pamoja na kufanya harakati unakimbilia bungeni unaacha wananchi wananyanyaswa ? hao waliokimbilia bungeni wamechangia nini mpaka muda huu ?
  7. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , ni mbunge gani anaweza kumudu kazi anazofanya mukya , anazunguka nchi nzima kwa wahanga zanzibar ni yueye peke yake alienda kule wabunge wengine wanakula kuku Dar hongera go mukya go
  8. A

    Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

    mbunge huyu yuko mstari wa mbele kwenye kila tukio wengine wamekimbilia dodoma kuchukua posho big up mukya source gazeti mwananchi
  9. A

    JK Amteua Mjomba wa Vicky Kamata kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    kaona bmw haitoshi sasa anaweka wakwe zake anaendesha utawala wa kifalme au kichifu?
  10. A

    nipokeeni

    habari wanajf nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa wakati umefika na mimi nimeona nipate kuchangia badala ya kusoma mawazo wa wenzangu naomba nitakapokosea munirekebishe polepole si kunizodoa hodi waungwana
Back
Top Bottom