Search results

  1. M

    Naielewa Sana Radio Ebony Fm kuliko nyingine nyingi

    Wana jamvi Kama tunavyofahamu Radio Ni moja ya vyanzo muhimu vya kupata taarifa mbalimbali katika ulimwengu wa Sasa wa Sayansi & Teknolojia. Vipo vyombo vingi vilivyo katika maeneo tofauti na vikisambaza habari, elimu na burudani kulingana na masafa yake. Pamoja na hayo Kuna Radio moja...
  2. M

    Mashamba ya Taasisi ya Kilimo Uyole Katikati ya Jiji la Mbeya

    Ni Jiji linalokuwa kwa kasi unaoambatana na ongezeko kubwa la watu na makazi. Eneo linalomilikiwa na Taasisi ya Kilimo Uyole lenye ukubwa wa hekta takriban Elfu moja nalo linapatikana ndani ya makazi ya watu Kati ya eneo la Uyole na kwa mama John. Ni wakati muafaka Sasa ikaonwa nanna nyingine...
  3. M

    Manispaa ya Iringa fungueni barabara

    Nikiwa katika ziara fupi hapo Iringa, kuna mambo machache yamenisisimua sana juu ya kufunguka kwa mji huu kimaendeleo kwa siku zijazo:- Mosi, ni zaidi ya miongo miñne sasa kumekuwa na mpango wa ujenzi kwa kiwango cha lami kwa barabara mashuhuri ya Capetown to Cairo yenye kipande cha KM 3...
  4. M

    Mwandishi Balile aingie Bungeni

    Kwaujumla nafurahishwa Sana na mwandishi wa habari bw. Deudatus Balile ambaye pia ni moja wa viongozi wa vyama vya wanahabari Tanzania. Huyu jamaa namuona ni moja wa 'think tanks' kwa Mambo mengi ya kiuchumi, kisiasa na kijamii katika muktadha wa kitanzania. Hoja zake nyingi amekuwa akijaribu...
  5. M

    Salamu hii inaimarisha umoja wa Kitaifa

    Kwanza naanza na pongezi za dhati kwa Mh. Rais wa JMT mama Samia kwa ubunifu wa salamu bora kabisa yenye maudhui ya kitaifa iliyoondoa sintofahamu kwa viongozi wengi na wananchi kwaujumla. Moja ya sifa ya kiongozi ni kujua mambo mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kisiasa yanayoendelea katika...
  6. M

    Madhara na faida katika mahusiano ya Mtu na Rafiki au Jamaa

    Nilikuwa nikifuatilia mahojiano yaliyofanywa na kituo kimoja cha TV kilichokuwa kikihoji watu mbalimbali juu ya ukaribu wa jamii kwa sasa kati ya Mtu na Rafiki yake au ukaribu wa Mtu na jamaa yake. Kwanza ilifafanuliwa maana asili ya Mtu na Rafiki yake kuwa ni watu wenye uhusiano wa karibu...
  7. M

    Baadhi ya vituo vya TV vya ndani Viboreshe Vipindi

    Nje ya vipindi vya michezo, music, tamthiria na taarifa za habari za ndani na nje, maandalizi kwa vipindi vingine hususan vinavyorushwa jioni (usiku) na Televisheni za ndani vinahitaji kuboreshwa na pia kuacha kurudiarudia ili kutupatia raha ya kuviangalia. Kwa Sasa naona watu wengi...
  8. M

    Mabasi ya Iringa to Makambako Makonda Abiria wanapakatana

    Ni jambo linalojirudia mara kwa mara na sasa imekua ndio utamaduni kwa mabasi yanayosafirisha abiria kati ya Manispaa ya Iringa kwenda Mji wa Makambako makondakta wa mabasi aina ya dungu' (injini nyuma) wanawalazimisha abiria hususan waliokosa siti kupakatwa na wale wenye siti, ili eti basi...
  9. M

    Pongezi kwa Vipindi katika TV

    Waswahili wanasema uungwana ni vitendo, mtu au taasisi zinazofanya vizuri kwanini zisipongezwe. Katika pitapita yangu kwenye channel mbalimbali za TV hususan local TV, sitasita kuwapongeza kwa dhati wadau kwa kuandaa Vipindi mahiri vya masomo mbalimbali na kufundisha madogo kwa kutumia...
  10. M

    Sharia ya 'Financial Fair Play' ianze Tanzania.

    Wana jamvi nimekuwa nikifuatilia soka letu hapa bongo, na kuona ni wakati sasa BMT iitake TFF kuingiza kifungu cha Kudhibiti Mapato ya kutoka nje ya Club, kwa lugha nyingine ikiitwa Financial Fair Play. Hali hii inatokana na kufuatilia mwenendo wa ligi yetu sasa VPL ambapo zimeonekana timu kubwa...
Back
Top Bottom