Search results

  1. N

    Msaada kuingiza internet kwenye simu.

    Wadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC. Authentification type.APN type.APN protocal. Nitashukuru kwa msaada wenu
  2. N

    Treni laacha watu 1000

    Treni lenye route ya stesheni mpaka Ubungo maziwa likiwa na mabehewa sita limewaacha abiria zaidi ya 1000 waliokua wakisubiri kupanda katika kituo cha kamata.abiria hao ambao wengi wao wametokea kariakoo wamesubiri treni hilo kwa muda wa Saa nzima treni limekuja toka stesheni likiwa tayari...
  3. N

    Grilles za milango na madirisha

    Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ni mjasiriamali ambaye nimebobea katika fani ya welding,nawatangazia wote wanaohitaji grilles na mageti kwenye nyumba zao na mahofisini, contact zangu ni 0713448716 na 0758311811
  4. N

    Tatizo la kuwashwa masikio

    Namba msaada wa mawazo,nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa masikio kwa muda mrefu{miaka 5} hospitali nilipewa vidonge na eardrops havikusaidia,yanawasha kavukavu hayatoi maji. naomba mawazo yenu.
Back
Top Bottom