Search results

  1. T

    Nina laki 9, nahitaji skrepa ya Prado niikarabati

    Mkuu, barikiwa Sana. Hii njia Yaweza saidia wengi tununue magari
  2. T

    Nataka kwenda Marekani ila sina ndugu wala yeyote ninayemjua

    Mkuu samahani lakini kama... Nenda tu raisi Yuko huko, ila jitahidi kabla hajarudi
  3. T

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Niwie radhi Kwa Hilo. Ila nimeumia Sana kigundua Mwanaume mwenzangu anawapa wanaume wenzako. Nakuombea uishinde hiyo dhambi.
  4. T

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Mungu ingilia kati. Yani hapo ulipo unagawa? Dunia imeenda mbali Sana. Mkuu Yani tuko wote hapa siku zote tunajua we Mwanaume kumbe jike dime? Si ungetuambia mapema??
  5. T

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Huna haja ya kuomba uongozi, hiyo ndoa ukiingia majuto yake yatakuwa makubwa kuliko uliyoyapitia/unayoyapitia. I'm done
  6. T

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Pamoja na kufanya kazi na NGO za kimataifa lakini naona akili ni ya kijijini. Mtu 1. Mzinzi 2. Unamhudumia 3. Unajinunulia zawadi 4. Unajilipia magari. 5. Anakula mitaji ya biashara Huoni kuwa uko na tapeli? Sio amebakisha tu kukuroga alale na wanawake wengine na ulipe mshahara. Dada unawaza...
  7. T

    Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi. Mathayo 19:8 Talaka sio rehema,ni wakati moyo ukiwa mgumu na ukishindwa kusamehe. Ndio maana ikawekwa talaka.
  8. T

    Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Ninachojua, mahakamani lazima watakurudiaha Kwa viongozi wa dini, wajiridhishe ndipo wataandika talaka. Hata Bibilia inaruhusu talaka kwenye uzinzi. Yaani ugundue kabisa anatoka nje ya ndoa, ukishindwa kusamehe uko huru kumpa talaka. Viongozi wengine wa dini wanashindwa tu kuitafsiri vizuri...
  9. T

    Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Kuna wakati dini imeeleweka vibaya sababu ya viongozi wa hovyo. Yesu anasema usimuache mke kama hajafanya dhambi ya uzinzi. Mathayo 5:32. Hakuna haja ya kupatanisha mke na mume kama mmoja wapo ni mzinzi na yule ambaye ni mwaminifu anataka kuachana naye. Msamaha ni kanuni ya mbingu, ila...
  10. T

    Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Mkuu ikifika laki 7 Niko hapa.
  11. T

    Utafanya nini ukijua hela zako anatumia mwanaume mwingne?

    Pole sana mkuu. Ushauri wangu Kwanza toka ndani Pili piga chini. Mungu akupe ujasiri.
  12. T

    Ulianzaje kusoma vitabu?

    Baada ya kuangalia season Sanaa, nikaona huu ujinga. Yaani naangalia watu wanavyo pigana itanisaidia nini wakati hata pushapu zenyenye sipigi zaidi ya 2😃😃. Nikageugia vitabu. Though nilikuwa napenda Sana kusoma tangu nikiwa mdogo, ila mapinduzi makubwa ni kipindi nikiwa chuo. Jamani tusome...
  13. T

    Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

    Kama ingekuwa na kanuni, maisha yangekosa ladha.
  14. T

    Ananifanyia vituko ila nikitaka kumuacha anatishia kujiua

    Jiulize, Kama kwenye uchumba tu mnagombana kiasi hiki kwenye ndoa si kila siku mtakuwa wa wakusuluhishwa?. Huyo sio mtu sahihi, atakusumbua. Kama anajiua wewe sio mwokozi wake.
  15. T

    Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

    Mkuu naomba unisaidie hicho kitabu. Nakihitaji Sana. Thanks in advance.
  16. T

    Kero tunazokutana nazo kisa tumefanikiwa kimaisha

    Mkuu unatushauri nini sisi ambao tuna mpango wa kuwa Kama wewe?
  17. T

    Hebu mshauri huyu mama

    Mungu akutie nguvu, ufanye maamuzi sahihi.
  18. T

    Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

    Tatizo ni kwamba, you keep doing.
Back
Top Bottom