Search results

  1. J

    Affiliate Marketer pitieni hapa

    Asante mkuu, Ila nilishajaribu kuApply shareasale na ClickBank wakaReject application yangu pia Rakuten ilishindikana kwa kuwa sina website.
  2. J

    Mfumo wa Biometric HESLB

    Wasalam wajumbe, Ningependa kujua ni jinsi gani mfumo wa kuSign fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu unafanya kazi. Iko hivi: A/C number yangu ya bank imekosewa na HESLB. Kila nikifanya marekebisho kwenda HESLB, siku wanapo leta majina huwa jina langu linakuja likiwa na makosa...
  3. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Ili kupeleka case kama hii kituoni inabidi kuwe na concrete evidences, labda huko TAKUKURU kidogo nasikiaga wanaweza wakaweka mitego yao.
  4. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Receipt ni jambo la muhimu sana, ila rafiki yangu walimpa risiti feki zile za kuandika kwa mkono na yeye akaamini..
  5. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    sikuwahi iona, kumbe wengi yameshawakuta kama haya
  6. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Kumbe hii michezo ipo zamani tu, mimi nilijua ndio utapeli wa sasa hivi kushirikisha Askari wetu
  7. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Nakwambiaa.. we acha tu.
  8. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Usipokuwa makini unapewa Risiti feki,
  9. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Kwa sasa sio process ndefu, kunavitengo vya cyber crime katka jeshi letu, hivo kukupata ni kazi ndogo
  10. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Uliyemuuzia unamuuzia kesi na pia atakutaja wewe kama muuzaji hivyo hujakwepa kitu
  11. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Hivi vifaa huwa na IMEI No. na hivyo ndio jinsi wanavyopata namba yako kupitia hizo IMEI
  12. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Hawajanipiga mimi ila roommate wangu wamemuumiza
  13. J

    Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

    Kumetokea utapeli mpya, huu nimeushuhudia manispaa ya Moshi Mjini. Iko hivi, kunawafanyabiashara wa vyombo vya electronics kama vile Simu na Computers ambao wanauza hivi vifaa vipya na vingine used. Hawa jamaa wakikuuzia kifaa used (let's say Simu) huwa wanakaa baada ya muda fulani then mteja...
  14. J

    Affiliate Marketer pitieni hapa

    Affiliate Marketer mko wapi??
  15. J

    Affiliate Marketer pitieni hapa

    Hi there!, Niko hapa kuomba msaada wa platforms za affiliate marketing ambazo zinaweza zikatumiwa na waTanzania nikimaanisha: 1. Swala la kujiunga lisiwe changamoto kubwa kwa waTanzania. (Maana kunazingine zinaLimit watu kutoka mataifa fulani kutojiunga) 2. Swala la malipo lisiwe changamoto...
  16. J

    Java Programming Guides for beginners

    Nipeni na mimi mwongozo wa JavaScript Lengo nikuwa developer wa Front-End Web based applications Nimeshaanza tutorials za JavaScript kule SoloLearn ila naona bado hazijitoshelezi Nisaidieni materials gani natakiwa kuyapitia ikiwezekana na sources zake ili kuwa vizuri katika web apps...
  17. J

    Msaada Kidogo Kielimu Hapa Anayejua Jinsi ya Kutoa Pesa Kutoka Paypal

    Tatizo litakuwa hapo kwenye ID ya nje. Umesema sio lazima kutumia VPN Je, naweza kutumia ID zangu za ndani na Acc. yangu ikawa verified nanikaweza kufanya hiyo miamala ya BTC Pia kama haiwezekani, kama hutojali unaweza ukaShare njia ambazo naweza nikafanya na Acc. ikawa active note: Acc. hiyo...
  18. J

    Msaada Kidogo Kielimu Hapa Anayejua Jinsi ya Kutoa Pesa Kutoka Paypal

    Hivi mkuu, kwa uzoefu wako, Je naweza kufungua account PayPal through VPN nakuweza kupokea pesa PayPal then niitumie kununua BTC
  19. J

    Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Virusi vya Corona: Rais wa Madagascar adai kupata tiba ya corona - BBC News Swahili Hata hivyo Shirika la Afya Duniani...
Back
Top Bottom